Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama kuamua kuhusu kesi ya Mubarak

Mahakama nchini Misri inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi inayomkabili rais wa zamani wa nchi hiyo Hosni Mubarak

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo

 Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajiwa kutoa uamuzi, dhidi pingamizi zilizowasilishwa na upande wa mlalamikiwa kwa njia ya maandishi dhidi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi aliyoifungua Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ dhidi ya mkewe wa zamani

Ni habari ambayo imeandikwa na gazeti ya Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam kuhusu kesi iliyokua imefunguliwa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi kuhusu mke wake wa zamani.

Taarifa inasema Mahakama ya Manzese imeamuru Mbunge Joseph Mbilinyi akabidhiwe mtoto wao kutokana na kesi aliyoifungua dhidi ya mke wake huyu akidai anamuharibu mtoto.

Hii habari imekuja siku kadhaa tu baada ya TUZO ZA KILI 2015 ambapo mke huyu wa zamani aliingia kwenye headlines...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama kuamua pingamizi la Uamsho

Hatima ya usikilizwaji wa maombi ya marejeo ya viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali la Jamhuri dhidi ya maombi hayo.

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC,itatoa hukumu dhidi ya mbabe wa vita kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga.

 

10 years ago

StarTV

Mahakama yabatilisha uamuzi dhidi ya Mubarak

Mahakama nchini misri imebatilisha uamuzi wake kuhusiana na tuhuma za uproraji wa mali ya umma zilizokuwa zinamkabili aliyekuwa Rais wa wa nchi hio, Hosni Mubarak, na wanawe wawili.

Mahakama hio sasa inasema kesi hio itaanza kusikilizwa upya. Mahakama imemeelezea kuwa imegundua mikakati ya kisheria haikufuatwa.

Uamuzi huo una maana kwamba Mubarak ataondolewa katika hospitali ya kijeshi ambako anazuiliwa kwa mujibu wa wakili wake. Hio ndio kesi iliyoyokuwa imesalia mahakamani dhidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaagiza wanawe Mubarak waachiliwe

Mahakama nchini Misri imeagiza kuachiliwa huru wa wana wawili wa kiume wa rais aliyeng’olewa mamlakani Hosni Mubarak.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Mubarak yaahirishwa nchini Misri

Kesi inayomkabili aliyekuwa rais wa Misri kuhusu mashtaka ya ufisadi na mauaji ya waandamanaji mwaka 2011 imeahirishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi dhidi ya Mubarak yatupiliwa mbali

Mahakama moja nchini Misri imetupilia mbali kesi dhidi ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Hosni Mubarak

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani