Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAPAA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUAJI, AFUNGULIWA NYINGINE YA KUGHUSHI NYARAKA

Papaa Msofe akiwa mahakamani. (Picha kutoka maktaba yetu) MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemfutia kesi ya mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufu nchini, Marijan Abubakar, maarufu kama 'Papaa Msofe' baada ya kupokea taarifa kutoka kwa MKurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga leo kuwa hana nia ya kuendelea kumshitaki tena. Kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

10 years ago

Mwananchi

Papa Msofe afutiwa kesi ya mauaji

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya mauaji ya kukusudia iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake, Makongoro Joseph.

 

9 years ago

StarTV

 TCRA yawafikisha mahakamani watu watatu Tuhuma za kughushi nyaraka

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imewafikisha kwenye mahakama ya Mwanza watu watatu kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali na kufungua akaunti bandia za benki walizokuwa wakizitumia kuombea fedha kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali nchini.

Kwa mujibu wa mwanasheria mwandamizi mkuu wa TCRA Joannes Karungura, watuhumiwa hao watatu wakitumia laini za simu bandia walifungua akaunti mbili za benki katika benki ya NMB.

Kibarua kigumu kimewakumba washitakiwa hao watatu mapema jana baada ya...

 

10 years ago

GPL

MUUMINI AFUNGULIWA KESI YA UTAPELI

Mkurugenzi wa Bendi ya Double M Sound,  Muumini Mwinjuma ‘Kocha wa Dunia’. Shani Ramadhani
MKURUGENZI wa Bendi ya Double M Sound, Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, amefunguliwa kesi kwa jalada namba; NJ/RB/4150/2014 madai KUTOKUWEPO ENEO LA TUKIO na kukiuka masharti ya mkataba ya kufanya shoo mkoani Njombe. Mwandaaji wa shoo hiyo iliyofanyikia Ukumbi wa Day to Day, Sylvia Mwakkikufi akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

‘Papa Msofe’ afutiwa kesi, akamatwa tena

Papa MsofeMFANYABIASHARA maarufu Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, wamefutiwa kesi ya mauaji iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

11 years ago

Habarileo

Mshitakiwa kesi ya Papaa Msofe alalamika

MSHITAKIWA wa kesi ya mauaji, Makongoro Nyerere anayeshitakiwa pamoja na mfanyabiashara maarufu Marijan Abubakar ‘Papaa Msofe’, amedai kuwa upande wa Jamhuri unawakomesha kwa kuwa kesi ni ya muda mrefu.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Wanaodaiwa kughushi vyeti BoT wana kesi ya kujibu’

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WAFANYAKAZI wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne wamekutwa wana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanane wa upande wa mashtaka na kuona kwamba kuna haja kwa washtakiwa kujitetea.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beata Massawe, Jackline Juma,
Philimina...

 

10 years ago

GPL

PAPAA MSOFE AUGUA, ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Papaa Msofe akiingia chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. (Picha na Maktaba yetu) MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa Msofe leo ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyaraka zakwamisha kesi ya Mhando

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam, imetoa muda kwa upande wa Jamuhuri kuleta nakala halisi ambazo zilipelekwa katika Bodi ya zabuni na kuruhusu ununuzi ufanyike. Kesi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani