Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyaraka zakwamisha kesi ya Mhando

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam, imetoa muda kwa upande wa Jamuhuri kuleta nakala halisi ambazo zilipelekwa katika Bodi ya zabuni na kuruhusu ununuzi ufanyike. Kesi hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Moto wachoma nyaraka, waahirisha kesi ya Kaseja, Yanga

>Kesi inayomkabili kipa Juma Kaseja dhidi ya Yanga kumeilazimisha kupigwa kalenda hadi Machi 10, baada ya nyaraka zake  kutetea kwa moto.

 

10 years ago

GPL

PAPAA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUAJI, AFUNGULIWA NYINGINE YA KUGHUSHI NYARAKA

Papaa Msofe akiwa mahakamani. (Picha kutoka maktaba yetu) MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemfutia kesi ya mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufu nchini, Marijan Abubakar, maarufu kama 'Papaa Msofe' baada ya kupokea taarifa kutoka kwa MKurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga leo kuwa hana nia ya kuendelea kumshitaki tena. Kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya...

 

11 years ago

Michuzi

Kesi inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco,Willam Mhando na Wenzake kusikilizwa Agosti 26

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema itaanza kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, Agosti 26, mwaka huu.
Mhando na wenzake wanakabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.
Kesi ilipangwa kusikilizwa ushahidi huo, Julai 29 na 30, mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi...

 

11 years ago

Habarileo

Mimba zakwamisha elimu Mbinga

IMEELEZWA kuwa tatizo la mimba kwa shule za msingi na sekondari wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma, lisipotafutiwa mbinu ya kudhibitiwa mapema, litaathiri juhudi zinazofanywa na serikali katika sekta ya elimu wilayani humo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Takwimu zakwamisha upatikanaji wa maendeleo

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar, Bi Amina Shabani akifungua semina ya siku moja ya kujadili mpango utekelezaji wa Maendeleo ya Malengo ya Millenia MDG’s, iliyofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kuwashirikisha Maofisa Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wa Taasisi zisizo za Kiserekali, ulioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar na Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania na kufadhiliwa na UNDP.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

UKOSEFU wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Pembejeo zakwamisha wakulima wa korosho

20Na Florence Sanawa, Mtwara
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, imetoa siku 10 kwa mfuko wa wakfu wa kuendeleza zao la korosho kuhakikisha kuwa pembejeo zinawafikia wakulima ili waweze kuwahi kupulizia dawa hizo msimu huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe, alisema usambazaji wa pembejeo hizo umemtia mashaka kutokana na wilaya tatu za Masasi, Mtwara Halmashauri na Tandahimba kukosa pembejeo hizo kwa wakati...

 

11 years ago

Habarileo

Kura theluthi mbili zakwamisha Kamati

Mwenyekiti wa Kamati Namba Kumi, Anna AbdallahHATUA ya kufanya uamuzi wa kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba mpya katika ngazi ya kamati za Bunge, ilifikiwa jana huku changamoto ya kutopatikana kwa theluthi mbili ya kura kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, ikijitokeza katika kamati nyingi.

 

11 years ago

Habarileo

Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.

 

10 years ago

GPL

MVUA ZAKWAMISHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA XMAS JIJINI MWANZA

Mvua kubwa ikinyesha katika mitaa ya Jiji la Mwanza leo. Mvua ikiendelea kunyesha katika mitaa ya Jiji la Mwanza. MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani