Kura theluthi mbili zakwamisha Kamati
HATUA ya kufanya uamuzi wa kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba mpya katika ngazi ya kamati za Bunge, ilifikiwa jana huku changamoto ya kutopatikana kwa theluthi mbili ya kura kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, ikijitokeza katika kamati nyingi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Kamati ya Vuai yakosa theluthi mbili ya kura
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Kamati ya Nahodha yakosa theluthi mbili
![Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalumu la Katiba, Shamsi Vuai Nahodha](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Shamsi-Vuai-Nahodha.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalumu la Katiba, Shamsi Vuai Nahodha
Na Debora Sanja, Dodoma
MWENYEKITI wa Kamati namba moja ya Bunge Maalumu la Katiba, Shamsi Vuai Nahodha, imekosa theluthi mbili katika ibara mbili wakati wakipitisha sura ya pili na ya tatu.
Akizungumza na waandishi wa habari jana alisema kamati yake imeshamaliza kujadili sura ya pili na sura ya tatu pamoja na kupitisha ibara za sura hizo kwa kupiga kura.
Kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba, sura ya kwanza inahusu...
11 years ago
Habarileo07 Apr
Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Theluthi mbili inawezekana — Ngeleja
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati Na. 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William Ngeleja, amesema kuna uwezekano mkubwa wa kupata theluthi mbili ya Bara na Zanzibar kuelekea mfumo wa serikali mbili....
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
LHRC: Theluthi mbili Zanzibar utata
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba.
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, amesema watafanya uchunguzi kubaini mazingira yaliyowezesha kupatikana kwa theluthi mbili ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar.
Alisema ingawa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa imepitishwa, theluthi mbili kwa upande wa Zanzibar haijulikani inatokana na kura gani, kwani toka awali hesabu...
10 years ago
StarTV30 Sep
Theluthi mbili yaanza kutafutwa Dodoma.
UPIGAJI kura kupata Katiba Inayopendekezwa, unatarajiwa kuanza leo ambapo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walio bungeni na nje ya Bunge, watapiga kura ya kuikubali, au kuikataa kwa njia ya wazi na siri.
Kwa wajumbe watakaokuwa nje ya ukumbi huo, wakiwemo watakaokuwa nje ya nchi, tayari utaratibu wa kupiga kura popote walipo kwa njia ya nukushi (faksi) na intaneti, umeshaandaliwa.
Akizungumza bungeni juzi wakati wa kuhitimisha mjadala wa mapendekezo ya mabadiliko ya Rasimu katika Katiba...
10 years ago
Mtanzania03 Oct
LHRC kuchunguza theluthi mbili ya Z’bar
![Dk. Helen Kijo-Bisimba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Helen-Kijo-Bisimba.jpg)
Dk. Helen Kijo-Bisimba
NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM
MKURUGE NZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, amesema watafanya uchunguzi kubaini mazingira yaliyowezesha kupatikana kwa theluthi mbili ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar.
Alisema ingawa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa imepitishwa, theluthi mbili kwa upande wa Zanzibar haijulikani inatokana na kura gani, kwani toka awali hesabu zilionyesha kura za wajumbe kutoka visiwani...
11 years ago
Habarileo10 Apr
‘Watafute maridhiano wakikwama theluthi mbili’
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru ametaka kuandaliwa mkakati wa kutafuta maelewano iwapo maazimio ya theluthi mbili hayatafikiwa.
11 years ago
Mwananchi04 May
Theluthi mbili ilivyokwamisha nia ya kubadili rasimu