MUUMINI AFUNGULIWA KESI YA UTAPELI

Mkurugenzi wa Bendi ya Double M Sound, Muumini Mwinjuma ‘Kocha wa Dunia’. Shani Ramadhani MKURUGENZI wa Bendi ya Double M Sound, Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, amefunguliwa kesi kwa jalada namba; NJ/RB/4150/2014 madai KUTOKUWEPO ENEO LA TUKIO na kukiuka masharti ya mkataba ya kufanya shoo mkoani Njombe. Mwandaaji wa shoo hiyo iliyofanyikia Ukumbi wa Day to Day, Sylvia Mwakkikufi akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
PAPAA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUAJI, AFUNGULIWA NYINGINE YA KUGHUSHI NYARAKA
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Nahodha wa mashua afunguliwa mashtaka
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Sadiq al-Mahdi afunguliwa Sudan
11 years ago
BBCSwahili30 Jan
Justin Bieber afunguliwa mashtaka
11 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Mkurugenzi Ilala afunguliwa mashtaka mengine
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, jana walifunguliwa mashitaka mengine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar...
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Aliyekuwa rais wa IAAF afunguliwa mashtaka
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Wema Sepetu Afunguliwa Apandishwa Kizimbani Leo!!
Mwigizaji wa filamu za kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anapandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar kujibu kesi ya kushambuliwa vijana wawili, Rashid Balazi na Juma Bushiri, wakazi wa jijini Dar, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Katika kujibu kesi hiyo, Madam Wema hatakuwa peke yake kwani mpambe wake, Petit Man naye anahusika katika kesi hiyo kwa kuwa ndiye mshtakiwa wa kwanza.
Hivi karibuni kabla Madam Wema hajasafiri kwenda nchini Ghana kufanya...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Muumini apagawisha Extra Bongo
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi, Muumini Mwinjuma, aliwapagawisha mashabiki wakati akiimbia bendi ya Extra Bongo katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi. Muumini alikuwa kivutio kikubwa pale alipoimba nyimbo zake...
5 years ago
Michuzi
MUUMINI AIBA SADAKA ZA KANISA

Imeelezwa kuwa kanisa hilo lilitazama video zilizofichwa (CCTV) baada ya kugundua kuwa fedha zimepotea kutoka kasha maalumu zilipohifadhiwa na kugundua kuwa Peter alitengeneza njia kanisani humo na kutumia waya mwembamba kutoa fedha hizo kutoka katika kasha.
Kwa...