Wema Sepetu Afunguliwa Apandishwa Kizimbani Leo!!
Mwigizaji wa filamu za kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anapandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar kujibu kesi ya kushambuliwa vijana wawili, Rashid Balazi na Juma Bushiri, wakazi wa jijini Dar, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Katika kujibu kesi hiyo, Madam Wema hatakuwa peke yake kwani mpambe wake, Petit Man naye anahusika katika kesi hiyo kwa kuwa ndiye mshtakiwa wa kwanza.
Hivi karibuni kabla Madam Wema hajasafiri kwenda nchini Ghana kufanya...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziPROF. LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI LEO
10 years ago
Michuzimtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s72-c/Chid%2BBeenz_full.jpg)
CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11
![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s1600/Chid%2BBeenz_full.jpg)
Chid Benz amefikishwa mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...
10 years ago
GPLSLIM APANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mansour apandishwa kizimbani
![Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mansour-Yusuf-Himid.jpeg)
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Is-haka Omar, Zanzibar
ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Akimsomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani, Mwendesha mashtaka wa Serikali, Maulid Ali, alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...
11 years ago
Habarileo20 May
Ofisa NHIF apandishwa kizimbani
OFISA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Godius Masilango, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh milioni 51.
11 years ago
Mwananchi19 Jan
‘Muuaji’ wa Dk Mvungi apandishwa kizimbani
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mkosamali apandishwa kizimbani Kigoma