Okwi akacha kambi Yanga
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ameanza vituko Yanga baada ya kuondoka kikosini na kushindwa kuambatana na wenzake walioingia kambini jana Bagamoyo, Pwani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Okwi asaini Yanga SC
Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...
11 years ago
GPL
Okwi ayeyuka Yanga SC
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. John Joseph na Sweetbert Lukonge
SAKATA la mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kudaiwa kususia mazoezi, sasa limeendelea mbele zaidi ya ilivyoelezwa awali. Habari mpya ni kuwa Okwi, raia wa Uganda, amegoma kabisa hata kujiunga na wenzake walioweka kambi Bagamoyo na siyo kususia mazoezi pekee, kisa kikiwa ni kutaka kumaliziwa fedha zake za usajili ambazo inadaiwa bado anadai. Kutokana na...
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Okwi aituliza Yanga
NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...
11 years ago
GPL
OKWI ATUA YANGA SC
Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Yanga kumshtaki Okwi
Uongozi wa Yanga umedai kuwa utamshtaki kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi iwapo hatajisalimisha hadi ifikapo Agosti 4.
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
Kama mtindo wa kupiga kura utatumiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuamua hatima ya mshambuliaji Emmanuel Okwi, basi Yanga ina uhakika wa kupata kura nne na Simba kura tatu.
11 years ago
TheCitizen08 Mar
Okwi, Kiiza link up with Yanga
>Young Africans’ Ugandan forwards Emmanuel Okwi and Hamis Kiiza landed in Cairo yesterday where they linked up with teammates ahead of a decisive CAF Champions League match tomorrow.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mafowadi Yanga wamhofu Okwi
>Baadhi ya wachezaji wa Yanga wamehofia kupoteza nafasi zao katika kikosi cha kwanza timu hiyo mara baada ya kusajiliwa kwa Emmanuel Okwi hivi karibuni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania