Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3

Kama mtindo wa kupiga kura utatumiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuamua hatima ya mshambuliaji Emmanuel Okwi, basi Yanga ina uhakika wa kupata kura nne na Simba kura tatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

usajili wa Okwi waivuruga simba

Emmanuel Okwi. Waandishi Wetu,Dar es Salaam
HATIMAYE kigogo wa Simba, Zacharia Hans Poppe, ameamua kuzima utata uliokuwa ukienea katika ishu ya usajili wa mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi na kufafanua kuwa ameuzwa na si kwa majaribio kama taarifa zilizoenea hapo awali. Awali, kulikuwa na mkanganyiko wa taarifa mbili tofauti, ambapo nyingine zilisema Okwi ameuzwa huku nyingine zikikanusha kwamba anakwenda kufanya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda

 

11 years ago

GPL

USAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWA

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF iliyokutana leo (Januari 22 mwaka huu) kupitia masuala mbalimbali, imesimamisha usajili huo baada ya kubaini kuwa Okwi aliruhusiwa kuichezea...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Mavugo, Okwi, Mgosi utaipenda Simba tu

>Mshambuliaji mpya wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo  amesema kuwa hakuna cha kumnyima kung’ara ikiwa atacheza pamoja na Emmanuel Okwi na Mussa Hassan ‘Mgosi’.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga, Simba yametimia

>Yanga imeshinda vita ya nje ya Uwanja baada ya kuipata saini ya kiungo Deus Kaseke aliyekuwa akiwaniwa na watani wao, Simba kwa muda mrefu.

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Yanga, Simba in another tussle over Okwi

>A legal battle is brewing over Simba Sports Club’s new signing Emmanuel Okwi.Young Africans have reported the Ugandan striker to the Tanzania Football Federation (TFF) allegedly for penning a deal with their traditional foes without their consent

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kama Yanga sakata la Okwi

Siku chache baada ya watani zao Yanga kutaka ripoti ya mwamuzi ionyeshwe hadharani, uongozi wa  Simba nao umefuata nyao hizo kwa kutaka mwamuzi Kennedy Mapunda achukuliwe hatua kali za kinidhamu.

 

11 years ago

GPL

Nyota Simba waomba usajili Yanga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akihojiwa na wanahabari. Na Wilbert Molandi
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya wachezaji wa Simba wamepiga hodi kwenye Klabu ya Yanga na kuomba kusajiliwa na timu hiyo. Usajili wa ligi kuu unatarajiwa kufunguliwa Juni 16 na kumalizika mapema Agosti, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, wengi wa… ...

 

11 years ago

GPL

Sakata la kususa Yanga, Okwi aitaja Simba

Mshambuliaji Emmanuel Okwi.
Na Shakoor Jongo
FILAMU ya Emmanuel Okwi na timu yake ya Yanga inaendelea, sasa ni ukurasa mpya baada ya mchezaji huyo raia wa Uganda kutoa kauli. Okwi ambaye inadaiwa kuwa amesusa kuichezea timu hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa hajamaliziwa malipo ya fedha zake za usajili, amesema kuwa hawezi kufunguka zaidi kuhusu kinachoendelea.
Lakini amedai kuwa atafanya hivyo mara baada ya timu yake kuivaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani