Sakata la kususa Yanga, Okwi aitaja Simba
Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Na Shakoor Jongo FILAMU ya Emmanuel Okwi na timu yake ya Yanga inaendelea, sasa ni ukurasa mpya baada ya mchezaji huyo raia wa Uganda kutoa kauli. Okwi ambaye inadaiwa kuwa amesusa kuichezea timu hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa hajamaliziwa malipo ya fedha zake za usajili, amesema kuwa hawezi kufunguka zaidi kuhusu kinachoendelea. Lakini amedai kuwa atafanya hivyo mara baada ya timu yake kuivaa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Simba kama Yanga sakata la Okwi
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Simba waijia juu Yanga sakata la Okwi
NA SAADA AKIDA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameibuka na kudai hana muda wa kuumiza kichwa juu ya madai ya klabu yaYanga, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya timu hiyo, Zacharia Hanspope akiwapa onyo kuwa endapo watafungua kesi wahakikishe wana vielelezo sahihi.
Yanga ilitangaza kumfungulia kesi ya madai ya fidia Okwi, kwa kumtaka ailipe kiasi cha dola 2,100,000 kwa kuvunja mkataba na ada ya mazoezi, huku ikidai kulipeleka suala hilo Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ili...
10 years ago
Michuzisakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Simba kulipeleka sakata la Okwi Fifa
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
10 years ago
TheCitizen30 Aug
SOCCER: Yanga, Simba in another tussle over Okwi
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Yanga waibeza Simba SC sakata la usajili wa Msuva
10 years ago
TheCitizen06 Sep
Simba, Yanga why waste time, money over okwi?
10 years ago
Mwananchi13 Jul
TAMBO: Simba: Hata bila Okwi Yanga italia tu