Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga waibeza Simba SC sakata la usajili wa Msuva

Uongozi wa Yanga umeibeza Simba juu ya kauli waliyoitoa hivi karibuni ya kudai kuwa wanaiandikia Yanga barua ya kutaka kumsajili winga wao Simon Msuva.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Simon Msuva aiangukia Yanga

>Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amereja nchini akitokea Afrika Kusini kufanya majaribio ya soka la kulipwa na amewaangukia viongozi wake kutofanya makosa ya kuzuia uhamisho wake.

 

10 years ago

Mtanzania

SAKATA LA MSUVA KUTIMKIA SAUZI ;Yanga yaishtaki Bidvest

MSUVAABDUCADO EMMANUEL, DAR NA MICHAEL MAURUS, MTWARA

SAKATA la winga wa timu ya Yanga, Simon Msuva kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini kwenye timu ya Bidvest Wits bila ruhusa ya uongozi wake, limechukua sura mpya baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom kuishtaki timu hiyo kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Msuva aliyerejea nchini juzi baada ya kumaliza majaribio hayo na kudaiwa kufanya vizuri, alitorokea nchini humo Jumatatu iliyopita usiku bila kuafikiana na uongozi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaichokoza Yanga kwa Msuva

Wakati uongozi wa klabu ya Simba ukimwongezea mkataba kiungo wao, Jonas Mkude aliyekuwa akitakiwa na watani wao, Yanga, Wekundu wa Msimbazi wameichokonoa Yanga.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba SC test Yanga resolve over Msuva

Simba SC are considering to raid Young Africans for the signature of striker Simon Msuva, a move that must send ripples of shock to the Jangwani Street giants.

 

10 years ago

GPL

Yanga yaipoka Simba mdogo wake Msuva

Straika wa Simba, James Msuva. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Yanga imetangaza nia ya kumuondoa kikosini straika wa Simba, James Msuva ambaye ni mdogo wa winga wa Yanga, Simon Msuva kwa kile walichosema Simba haina uhalali wa kummiliki mchezaji huyo ambaye bado yupo mikononi mwa Klabu ya Wakati Ujao. Katibu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha ambaye ni mwasisi wa Klabu ya Wakati Ujao, amesisitiza kuwa kwake ni muhimu kumuondoa mchezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3

Kama mtindo wa kupiga kura utatumiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuamua hatima ya mshambuliaji Emmanuel Okwi, basi Yanga ina uhakika wa kupata kura nne na Simba kura tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga, Simba yametimia

>Yanga imeshinda vita ya nje ya Uwanja baada ya kuipata saini ya kiungo Deus Kaseke aliyekuwa akiwaniwa na watani wao, Simba kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kama Yanga sakata la Okwi

Siku chache baada ya watani zao Yanga kutaka ripoti ya mwamuzi ionyeshwe hadharani, uongozi wa  Simba nao umefuata nyao hizo kwa kutaka mwamuzi Kennedy Mapunda achukuliwe hatua kali za kinidhamu.

 

11 years ago

GPL

Nyota Simba waomba usajili Yanga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akihojiwa na wanahabari. Na Wilbert Molandi
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya wachezaji wa Simba wamepiga hodi kwenye Klabu ya Yanga na kuomba kusajiliwa na timu hiyo. Usajili wa ligi kuu unatarajiwa kufunguliwa Juni 16 na kumalizika mapema Agosti, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, wengi wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani