Nyota Simba waomba usajili Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75pecdqB77AWyxEtfnTUfYXxEFIZe7bRJqIa1ih4MCrOTSrE*dRUNJ5aqZnYWvVef0TzWVEjLhjJv9JMWKa4Tvee/NYOTA.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akihojiwa na wanahabari. Na Wilbert Molandi KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya wachezaji wa Simba wamepiga hodi kwenye Klabu ya Yanga na kuomba kusajiliwa na timu hiyo. Usajili wa ligi kuu unatarajiwa kufunguliwa Juni 16 na kumalizika mapema Agosti, mwaka huu. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, wengi wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 May
USAJILI: ‘Simba, Yanga zinajengea nyumba nyota’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx9nB-7qVtYRAkD07e0nTNx4Azp*bULL588RM5iKYG6KhntvsSB1oAccSJcCM8-1bGmPvG1F5B2dJnW5ruJK555y/11.gif?width=600)
Maximo ashikilia usajili wa nyota wanne Yanga
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga wasajili nyota wawili …
Uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African usiku wa December 15 tukiwa tunaelekea kufunga dirisha la usajili imetangaza kukamilisha usajili wa nyota wawili. Yanga ambao walithibitisha kumtema mchezaji wa kimataifa wa Brazil aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Andry Coutinho wametangaza kusajili wachezaji wawili. Yanga wamethibtisha kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City na baadae Mwadui FC Paul […]
The post Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga...
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Nyota 10 Simba, Yanga sokoni
10 years ago
Mwananchi25 May
USAJILI: Yanga, Simba yametimia
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Nyota Simba, Yanga waingia mitini
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Nyota hawa Simba, Yanga kwisha
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Yanga waibeza Simba SC sakata la usajili wa Msuva