Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo ashikilia usajili wa nyota wanne Yanga

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa hatima ya wachezaji wao wanne ambao mikataba yao imemalizika, ipo chini ya kocha mpya, Mbrazili, Marcio Maximo. Mbrazili huyo hivi sasa yupo katika mazungumzo ya mwisho na klabu hiyo kwa ajili ya kutua kuja kukinoa kikosi hicho akimrithi Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Nyota hao wanne ambao mikataba nayo imemalizika ni kipa Ali Mustapha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Maximo asimamisha usajili wote Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, Nicodemus Jonas na Martha Mboma
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amesema kuwa kwa sasa hakuna haja ya kuongeza mchezaji mwingine, badala yake anataka kuangalia viwango vya wachezaji alionao kabla ya kutoa tathmini ya kuhitaji usajili au la. Maximo alisema kuwa, ni ngumu kwa sasa kufanya usajili kwa kuwa kuna wachezaji wa kimataifa ambao hajawaona uwanjani, lakini iwapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja ‘out’ Yanga, Maximo aleta nyota mwingine

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ameondolewa katika kikosi cha timu hiyo na nafasi yake itazibwa na kiungo mkabaji pia raia wa Brazil, Emerson Oliveira Neves Roque.

 

11 years ago

GPL

Nyota Simba waomba usajili Yanga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akihojiwa na wanahabari. Na Wilbert Molandi
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya wachezaji wa Simba wamepiga hodi kwenye Klabu ya Yanga na kuomba kusajiliwa na timu hiyo. Usajili wa ligi kuu unatarajiwa kufunguliwa Juni 16 na kumalizika mapema Agosti, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, wengi wa… ...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: ‘Simba, Yanga zinajengea nyumba nyota’

>Winga wa zamani wa Simba, Ulimboka Mwakingwe amesema sasa ndiyo wakati wa Yanga na Simba kuwajengea nyumba wachezaji.

 

9 years ago

MillardAyo

Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga wasajili nyota wawili …

Uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African usiku wa December 15 tukiwa tunaelekea kufunga dirisha la usajili imetangaza kukamilisha usajili wa nyota wawili. Yanga ambao walithibitisha kumtema mchezaji wa kimataifa wa Brazil aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Andry Coutinho wametangaza kusajili wachezaji wawili. Yanga wamethibtisha kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City na baadae Mwadui FC Paul […]

The post Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: ‘Maximo sajili ‘Domayo’ mpya’

>Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Yusuph ‘Tigana’ amemshauri kocha Marcio Maximo kumsajili kiungo mwenye uwezo wa Frank Domayo kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo.

 

11 years ago

Mwananchi

Fifa yawatia kifungoni nyota wanne

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetangaza kuwatia kifungoni nyota wanne ambao watazikosa mechi kadhaa za fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota waliovuna fedha nyingi usajili 2014/15

Kama ilivyozoeleka katika kila kipindi cha usajili, wapo wachezaji watakaotawala mazungumzo ya wapenzi wa soka kutokana na usajili wao kuzigharimu fedha nyingi klabu zao mpya na wakati mwingine klabu za awali.

 

9 years ago

Bongo5

Manchester City imekamilisha usajili wa nyota wa Valencia, Nicolas Otamend

Klabu ya Manchester City hatimaye imekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa Argentina, Nicolas Otamendi aliyekuwa mchezaji wa Valencia kwa dau la pauni milioni 32. Kocha mkuu wa klabu hiyo, Manuel Pellegrini anaamini kuwa amenunua beki bora zaidi. Otamendi alifuzu vipimo vya afya na kukubali kusaini mkataba wa miaka mitano. Kabla ya hapo Otamendi alikuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani