Maximo asimamisha usajili wote Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyS4svDFnn55HFEHmTKcHlEBFL*JBLm5dicdimohx60sxiNIV20eSRVo*M3j1zFCXLeBa5pZTsGootx56Bw7l*G2/MAXI.jpg)
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, Nicodemus Jonas na Martha Mboma KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amesema kuwa kwa sasa hakuna haja ya kuongeza mchezaji mwingine, badala yake anataka kuangalia viwango vya wachezaji alionao kabla ya kutoa tathmini ya kuhitaji usajili au la. Maximo alisema kuwa, ni ngumu kwa sasa kufanya usajili kwa kuwa kuna wachezaji wa kimataifa ambao hajawaona uwanjani, lakini iwapo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6qQyqsR5mRhBGiaUjLtpVdjopfJSkb8YF4xpM-BnwOikhpQ4zFdt4HvHCftSfKT7az4woT9rq3Jaw3RjuB8iBsu/1IOIOOO.jpg)
Lunyamila asimamisha usajili Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx9nB-7qVtYRAkD07e0nTNx4Azp*bULL588RM5iKYG6KhntvsSB1oAccSJcCM8-1bGmPvG1F5B2dJnW5ruJK555y/11.gif?width=600)
Maximo ashikilia usajili wa nyota wanne Yanga
10 years ago
Mwananchi21 Nov
USAJILI: ‘Maximo sajili ‘Domayo’ mpya’
11 years ago
TheCitizen01 Jul
Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Maximo: Nawaangalia tu Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...
11 years ago
TheCitizen14 Jul
Maximo says Yanga are going places
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Maximo basi tena Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
KARIBU YANGA: Maximo kuunguruma
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Maximo awaadabisha wavivu Yanga