Lunyamila asimamisha usajili Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6qQyqsR5mRhBGiaUjLtpVdjopfJSkb8YF4xpM-BnwOikhpQ4zFdt4HvHCftSfKT7az4woT9rq3Jaw3RjuB8iBsu/1IOIOOO.jpg)
Winga wa zamani wa Yanga, Edibily Lunyamila. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam WAKATI Yanga ikipiga hesabu za kusajili baadhi ya wachezaji kutoka timu za Ligi Kuu Bara kuimarisha kikosi chake, winga wa zamani wa timu hiyo, Edibily Lunyamila amesema haina haja kwa klabu hiyo kusajili wachezaji wa ndani. Badala yake Lunyamila akasisitiza, Yanga inapaswa kusajili wachezaji au mchezaji wa kigeni mzoefu ili ifanye vizuri katika Ligi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyS4svDFnn55HFEHmTKcHlEBFL*JBLm5dicdimohx60sxiNIV20eSRVo*M3j1zFCXLeBa5pZTsGootx56Bw7l*G2/MAXI.jpg)
Maximo asimamisha usajili wote Yanga
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Lunyamila aionya Yanga
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Lunyamila azichambua Azam FC, Yanga SC
10 years ago
Mtanzania27 May
Yanga yateka usajili
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga imeendelea kuteka soko la usajili nchini, baada ya jana mchana kuwanasa wachezaji wawili kwa mpigo, beki wa kushoto Mwinyi Haji Mngwali na kipa wa Kagera Sugar, Benedicto Tinocco.
Usajili wa wachezaji hao unaifanya timu hiyo kufikisha idadi ya wachezaji watatu iliyowasajili mpaka sasa baada ya Jumapili iliyopita kumsainisha winga Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro, alilithibitishia...
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
10 years ago
Mwananchi25 May
USAJILI: Yanga, Simba yametimia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5Qc51HeT8zJFn3ZlIoNJvdxNK4gM*TNzyGcAcxGYoLaSpqGFXBZGsem0sJ4TstqT5ug*UMxLgyKTS6sBWntlf4Uq/OKWI5.jpg)
USAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWA
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga
10 years ago
Mtanzania26 May
Usajili Yanga wazidi kutikisa
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
USAJILI mpya wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga umezidi kutikisa kutokana na jindi klabu hiyo inavyosajili kiufundi.
Baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke ambaye anarithi mikoba ya Mrisho Ngassa aliyetimkia Afrika Kusini, klabu hiyo imeendelea na mipango mizito ya usajili wa wachezaji wengine wazawa na wale wa kimataifa ambao wanatarajiwa kutua nchini wiki hii kufanya majaribio.
Uongozi wa timu hiyo jana usiku...