Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


usajili wa Okwi waivuruga simba

Emmanuel Okwi. Waandishi Wetu,Dar es Salaam
HATIMAYE kigogo wa Simba, Zacharia Hans Poppe, ameamua kuzima utata uliokuwa ukienea katika ishu ya usajili wa mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi na kufafanua kuwa ameuzwa na si kwa majaribio kama taarifa zilizoenea hapo awali. Awali, kulikuwa na mkanganyiko wa taarifa mbili tofauti, ambapo nyingine zilisema Okwi ameuzwa huku nyingine zikikanusha kwamba anakwenda kufanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3

Kama mtindo wa kupiga kura utatumiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuamua hatima ya mshambuliaji Emmanuel Okwi, basi Yanga ina uhakika wa kupata kura nne na Simba kura tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Mavugo, Okwi, Mgosi utaipenda Simba tu

>Mshambuliaji mpya wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo  amesema kuwa hakuna cha kumnyima kung’ara ikiwa atacheza pamoja na Emmanuel Okwi na Mussa Hassan ‘Mgosi’.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usajili wa Domayo waivuruga TFF

SIKU moja baada ya uongozi wa Azam FC kunyaka saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Frank Domayo ‘Chumvi’ akiwa kambini Tukuyu, Mbeya, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi, Jaja bado waivuruga Yanga

Sinema ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imefikia patamu baada ya mabosi wa Yanga kuchanganya akili wamwache yeye au mshambuliaji wao mpya Mbrazili Geilson Santos Santana ‘Jaja’ huku kocha mkuu Mbrazili Marcio Maximo akiwa hataki kabisa kusikia habari za Okwi.

 

11 years ago

GPL

USAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWA

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF iliyokutana leo (Januari 22 mwaka huu) kupitia masuala mbalimbali, imesimamisha usajili huo baada ya kubaini kuwa Okwi aliruhusiwa kuichezea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Hukumu ya Okwi leo

>Hukumu ya mshambuliaji Emmanuel Okwi itatolewa leo na Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF inayoongozwa na mwanasheria Richard Sinamtwa.

 

11 years ago

GPL

SIRI NZITO USAJILI WA OKWI YAANIKWA

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Hans Mloli
SAKATA lililoshika hatamu katika kipindi kifupi cha nyuma ni kuhusu mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi aliyedaiwa kuwa na usajili wa utata na kusababisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumsimamisha mpaka lipate ufafanuzi kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Mchezaji huyo raia wa Uganda, alisajiliwa na Etoile du Sahel ya Tunisia akitokea Simba Januari, 2013 kwa...

 

11 years ago

GPL

HUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI

Hati ya Usajili wa Emmanuel Okwi kama inavyoeneka kwneye system ya CAF. Uongozi wa klabu ya Young Africans umeamua kuweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji imemzuia kuichezea Young Africana mpaka watakapopata uthibitisho kutoka FIFA. Young Africans ilikamlisha usajili wa mshambuliaji huyo tangu Disemba 15 mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani