SIRI NZITO USAJILI WA OKWI YAANIKWA
![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH0EhPSKTFjZkPAVWypJCDgDXOMo*W5oNvvZWnUgVMaTOZtTAFJVPUCiZaLeKwltoo621HBnxOQf8LSQgvQbu3L9/OKWI.jpg?width=600)
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Hans Mloli SAKATA lililoshika hatamu katika kipindi kifupi cha nyuma ni kuhusu mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi aliyedaiwa kuwa na usajili wa utata na kusababisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumsimamisha mpaka lipate ufafanuzi kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Mchezaji huyo raia wa Uganda, alisajiliwa na Etoile du Sahel ya Tunisia akitokea Simba Januari, 2013 kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
Siri ya Kikwete TRA yaanikwa
RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, ndiye chanzo cha mwendelezo wa ufisadi wa kutisha katika Ma
Mwandishi Wetu
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Siri nzito
SIKU moja baada ya marais wawili wa Tanzania kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa, viongozi wa dini za Kikristo na Kiislam wamehitimisha kikao chao wakiwa na siri nzito kuhusu mustakabali wa taifa. Baadhi...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
JK siri nzito
RAIS Jakaya Kikwete ana siri nzito moyoni ya kile anachotaka kuwaambia Watanzania wakati atakapolihutubia Bunge Maalumu la Katiba leo mjini Dodoma. Hotuba hiyo inayoashiria uzinduzi rasmi wa Bunge hilo la...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyWjVveS5cS4kFOotDNWCx8l8wEx5KJWDoF**0I-ncraAOv0RY1DZ23N2WibH4Q5DAm*c*M2U5nk1dN8LAWJh6rf/mastaa.jpg?width=650)
SIRI NZITO ZAFICHUKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL9HzGeLIYvahjVhiA0B2jJfaIysv5A-geLRIGQiTWK3eYJp7HR0Zvk9niAjDB00rp9BzGiAX-hlGqcSsJu9LNIi/FRONT.jpg)
DIAMOND, JK SIRI NZITO!
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Ugaidi Tanga Siri nzito
OSCAR ASSENGA, TANGA
WAKATI nchi ikiwa bado kwenye taharuki ya mashambulio yanayodaiwa kufanana na ya kigaidi yaliyotokea katika Kijiji cha Mleni nje kidogo ya Jiji la Tanga, kumezuka madai mapya yanayowashutumu viongozi wa Jeshi la Polisi kwa kushindwa kutoa uamuzi wa haraka kudhibiti wahalifu hao.
Uzembe huo unadaiwa kufanywa na uongozi wa polisi makao makuu Dar es Salaam pamoja na Tanga na hivyo kutoa fursa kwa wahalifu kufanya mashambulio na baadaye kutoroka.
Chanzo cha kuaminika kutoka...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Siri nzito bidhaa za machinga
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Siri nzito CCM 2015
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3