Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi apigwa ‘stop’ Yanga

WAKATI Yanga wakitarajiwa kutua nchini leo, imepata pigo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha usajili wa mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi, hadi utakapopatikana ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa (Fifa)....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maswi apigwa 'stop'

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue naye ametangaza kumsimamisha kazi kwa muda Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim Maswi.

 

9 years ago

Mtanzania

Hamilton apigwa ‘stop’ kuwasiliana na Rihanna

Hamiliton na RihannaNEW YORK, Marekani

NYOTA wa mbio za magari, Lewis Hamilton, amepigwa marufuku na mchumba wake, Nicole Scherzinger, kuendelea kuwasiliana na mwanamitindo na mwanamuziki mashuhuri nchini Marekani, Rihanna.

Kauli ya mwanadada huyo kumpiga ‘stop’ mpenzi wake huyo kunatokana na tetesi kwamba nyota huyo wa mbio za magari ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki Rihanna.

“Nimemwambia Hamilton akate mawasiliano na Rihanna na kama hataki akate mawasiliano na mimi ili wawe na uhuru.

“Nimempa muda wa...

 

10 years ago

GPL

AMANDA APIGWA ‘STOP’ NA BASATA!

Gladness Mallya Stop! Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemzuia Mwigizaji Tamrina Poshi ‘Amanda’ kufanya shoo aliyokuwa ameiandaa kufuatia kudaiwa kuwa kinyume na maadili na makundi husika yalishapigwa marufuku. Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Amanda alifunguka kuwa shoo hiyo ilikuwa ifanyike wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mzalendo, Kijitonyama jijini Dar lakini...

 

5 years ago

CCM Blog

APIGWA STOP KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE

  Mkandarasi wa Mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka Nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa chini ya uangalizi wa jeshi la Polisi mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu watakaomalizia Mradi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa zuio hilo leo mara baada ya kutembelea Mradi wa maji wa Iyula ambao ulitarajiwa kukamilika tangu mwaka 2017 huku ukiwa na thamani ya shilingi bilioni tano.
Brig. Jen. Mwangela amesema mkandarasi huyo anatakiwa aweke...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji vitalu vya uwindaji apigwa ‘stop’

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, limewakataa mwekezaji, Shen na wenzake Wembele Hunting Safaris wanaofanya kazi za uwindaji katika pori la misitu ya hifadhi iliyoko...

 

10 years ago

GPL

Chanongo apigwa ‘stop’ kwenda Mazembe

Mshambuliaji wa Stand United, Haruna Chanongo. Na Idd Mumba, Mwanza
MSHAMBULIAJI wa Stand United, Haruna Chanongo, amepigwa ‘stop’ kwenda kufanya majaribio kwenye kikosi cha timu ya TP Mazembe kutokana na kocha wa timu hiyo kuwa bize kwa sasa. Chanongo amekuwa katika mipango ya muda mrefu ya kwenda kwenye majaribio kwenye timu hiyo, lakini juzi alifunguka kuwa hawezi kwenda kwa sasa kwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo...

 

10 years ago

GPL

MARIA SOLOMA AMJERUHI MENEJA, APIGWA STOP MAPACHA WATATU!

Mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Maria Soloma. Stori: Musa Mateja
MNENGUAJI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Maria Soloma amepigwa stop kuingia kwenye maonesho ya Bendi ya Mapacha Watatu kutokana na kitendo alichokifanya cha kumpiga chupa meneja wa Mapacha, Hamisi Dakota. Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mwanadada...

 

11 years ago

GPL

MCHEZAJI YANGA APIGWA PINGU...

Mshambuliaji wa Yanga, Shabani Kondo (kulia) akiwa ndani ya pingu. Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Shabani Kondo, alionja joto ya jiwe jana baada ya kumkunja ofisa wa jeshi la polisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kisha kupelekwa kituo cha polisi. Kondo alikumbana na mkasa huo kufuatia kutaka kupigana na askari baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao uliishuhudia Yanga ikivunja rekodi ya Mbeya kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani