Mwekezaji vitalu vya uwindaji apigwa ‘stop’
BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, limewakataa mwekezaji, Shen na wenzake Wembele Hunting Safaris wanaofanya kazi za uwindaji katika pori la misitu ya hifadhi iliyoko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Jan
Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018
MAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.
10 years ago
Habarileo24 Dec
Maswi apigwa 'stop'
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue naye ametangaza kumsimamisha kazi kwa muda Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim Maswi.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Okwi apigwa ‘stop’ Yanga
WAKATI Yanga wakitarajiwa kutua nchini leo, imepata pigo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha usajili wa mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi, hadi utakapopatikana ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa (Fifa)....
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Hamilton apigwa ‘stop’ kuwasiliana na Rihanna
NEW YORK, Marekani
NYOTA wa mbio za magari, Lewis Hamilton, amepigwa marufuku na mchumba wake, Nicole Scherzinger, kuendelea kuwasiliana na mwanamitindo na mwanamuziki mashuhuri nchini Marekani, Rihanna.
Kauli ya mwanadada huyo kumpiga ‘stop’ mpenzi wake huyo kunatokana na tetesi kwamba nyota huyo wa mbio za magari ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki Rihanna.
“Nimemwambia Hamilton akate mawasiliano na Rihanna na kama hataki akate mawasiliano na mimi ili wawe na uhuru.
“Nimempa muda wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QmRFQRFpoAR2jA6krR-iE*VprKu13HI--FlQsUIufGG90gP*ItnP81cGYhkNWVJ-w2GmPyHWGJySIrUJ1PgfEkFS56MfXzlJ/amandacopy.jpg?width=650)
AMANDA APIGWA ‘STOP’ NA BASATA!
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-TrpzcNdkcGc/XowkwlCKDdI/AAAAAAAC2mg/qAESyce-TgQHoR68HdLH20EtG8ISghjPwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-11.jpg)
APIGWA STOP KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-TrpzcNdkcGc/XowkwlCKDdI/AAAAAAAC2mg/qAESyce-TgQHoR68HdLH20EtG8ISghjPwCLcBGAsYHQ/s640/1-11.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa zuio hilo leo mara baada ya kutembelea Mradi wa maji wa Iyula ambao ulitarajiwa kukamilika tangu mwaka 2017 huku ukiwa na thamani ya shilingi bilioni tano.
Brig. Jen. Mwangela amesema mkandarasi huyo anatakiwa aweke...
11 years ago
Habarileo25 May
Watanzania wahimizwa kuomba vitalu vya mifugo
SERIKALI imewataka Watanzania kuwa mashujaa wa kuomba vitalu vya uwekezaji katika mashamba ya mifugo vinapotangazwa badala ya kuwaachia watu kutoka nje. Aidha, Wizara ya Fedha imesema itatoa Sh bilioni 10.5 kati ya takribani Sh bilioni 20 zilizosalia ambazo zilitengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ili kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fpfOMyY3Yk30Zq-LE3G1IPDyBjERqqrmO5hSlwF3sPs97-edPpEY6E50KEZwVp24yZoNHJ4MdYVgRKRlCwe8c6/chanongo.jpg?width=650)
Chanongo apigwa ‘stop’ kwenda Mazembe
9 years ago
MichuziSERIKALI KUNYANG’ANYA VITALU VYA MADINI VILIVYOHODHIWA.