Watanzania wahimizwa kuomba vitalu vya mifugo
SERIKALI imewataka Watanzania kuwa mashujaa wa kuomba vitalu vya uwekezaji katika mashamba ya mifugo vinapotangazwa badala ya kuwaachia watu kutoka nje. Aidha, Wizara ya Fedha imesema itatoa Sh bilioni 10.5 kati ya takribani Sh bilioni 20 zilizosalia ambazo zilitengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ili kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Mengi: Sikuwahi kuomba upendeleo vitalu vya gesi
10 years ago
Habarileo29 Jan
Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018
MAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Mwekezaji vitalu vya uwindaji apigwa ‘stop’
BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, limewakataa mwekezaji, Shen na wenzake Wembele Hunting Safaris wanaofanya kazi za uwindaji katika pori la misitu ya hifadhi iliyoko...
9 years ago
MichuziSERIKALI KUNYANG’ANYA VITALU VYA MADINI VILIVYOHODHIWA.
11 years ago
Michuzi18 Jun
5 years ago
Michuzi
SERIKALI IMEKABIDHIWA VIFAA VYA MAABARA VYA UCHUNGUZI NA UTAMBUZI WA MAGONJWA YA MIFUGO
Vifaa hivyo vimetolewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kwa kufadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) chini ya programu ya Ajenda ya Usalama wa Afya Ulimwenguni (GHSA-ZDAH).
Lengo ni kukuza uwezo wa dunia wa kujilinda dhidi ya hatari za...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Watanzania wahimizwa kupikia gesi
KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...
10 years ago
StarTV05 Oct
Watanzania wahimizwa kudumisha amani
Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.
Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki
Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...
9 years ago
Habarileo29 Dec
Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli
MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.
Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...