Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wahimizwa kupikia gesi

KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Udanganyifu kwenye biashara ya gesi ya kupikia (LPG)

Mfano wa mitungi midogo ambayo haikutimia uzito unaotakiwa.  Salaam Ankal Michuzi. Tafadhali wahadharishe wadau kuhusu udanganyifu mkubwa unaofanyika hivi sasa kwenye mitungi ya gesi ya kupikia. Wajanja hao hupunguza gesi kutoka kwenye ile mitungi mikubwa na kupata mitungi midogo ambayo haijatimia uzito unaotakiwa. Jinsi ya kukwepa udanganyifu huu mkubwa ni  kuwa,  kila unaponunua gesi ya kupikia, kuhakikisha mtungi huo una "seal" kwenye sehemu ya kutolea gesi. Pili, usinunue mtungi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lindi wahimizwa kusoma wafaidi gesi, mafuta

Wananchi mkoani Lindi wameshauriwa kusoma kwa bidii ili elimu watakayopata iweze kuwasaidia kupata fursa zinazotokana na gesi asilia iliyogunduliwa katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kula vizuri

Dk Donan MmbandoWATANZANIA wametakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula na ufanyaji wa mazoezi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, ambayo kwa sasa yanasababisha vifo vya watu wengi hapa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAHIMIZWA MATUMIZI YA INTANETI

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto) akionesha moja ya simu aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid inayopatika sasa kwa bei ya shilingi 100, 000/- katika maduka yote ya kampuni hiyo. Simu hiyo ni ya kisasa iliyounganishwa na 3G mteja anaweza kuperuzi mitandao ya Facebook, WhatsApp, Twitter, Viber, na Instagram. Pamoja naye ni Mkuu wa Idara ya bidhaa kwa wateja wa Vodacom Tanzania...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kudumisha amani

Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.

Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki

Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...

 

9 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli

MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.

Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.

Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora.
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kukata bima za nyumba

WATANZANIA wameshauriwa kuweka kipaumbele katika ukataji wa bima, hasa za nyumba na kuacha kutumia fedha kwa mambo yasiyofaa. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Msemaji wa Kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani