Udanganyifu kwenye biashara ya gesi ya kupikia (LPG)
Mfano wa mitungi midogo ambayo haikutimia uzito unaotakiwa. Salaam Ankal Michuzi. Tafadhali wahadharishe wadau kuhusu udanganyifu mkubwa unaofanyika hivi sasa kwenye mitungi ya gesi ya kupikia. Wajanja hao hupunguza gesi kutoka kwenye ile mitungi mikubwa na kupata mitungi midogo ambayo haijatimia uzito unaotakiwa. Jinsi ya kukwepa udanganyifu huu mkubwa ni kuwa, kila unaponunua gesi ya kupikia, kuhakikisha mtungi huo una "seal" kwenye sehemu ya kutolea gesi. Pili, usinunue mtungi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Watanzania wahimizwa kupikia gesi
KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...
10 years ago
Dewji Blog15 May
Mafuta ya kupikia ya MO SAFI kwa mahitaji bora ya vyakula kwenye familia yako!!
Burger bomba kama hii ya kuvutia iliyotengenezwa kwa mafuta bora ya Mo Safi, zenye ufahari kutoka MeTL Group.
Je? umeshatumia bidhaa bora kutoka MO!! pata sasa zipo karibu nawe NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOGKampuni ya MeTL Group imekuwa ni kati ya makampuni bora ndani na nje ya Tanzania kwa kukuletea bidhaa bora kwa mahitaji sahihi na ya matumizi na afya yako. Leo kupitia Modewji blog, tunakuletea kwa kifupi namna ya mafuta ya kupikia kutoka MeTL Group, MO Safi yatakavyopendezesha mlo...
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Makaa ya mawe kutumika kupikia
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Hatuoni tatizo kwenye mjadala wa gesi nchini
JUZI na jana kulikuwa na kongamano kubwa kati ya viongozi wa dini na Wizara ya Nishati na Madini kuhusu maliasili ya gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....
10 years ago
Michuzi10 Feb
11 years ago
KwanzaJamii13 Jul
Makosa ya kwenye madini yasirudiwe katika mafuta na gesi