Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makaa ya mawe kutumika kupikia

Gharama za maisha pamoja na uharibifu wa mazingira utapungua baada ya Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka kubuni mpango wa kutumia makaa hayo kama nishati ya kupikia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RC: Makaa ya mawe fursa muhimu Njombe

Makaa ya mawe yaliyopo Mchuchuma mkoani hapayametajwa kama kivutio muhimu cha uwekezaji mara yatakapoanza kutumika kuzalisha umeme kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMKBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi.
 wafanyabiashara wa Mkoani NjombeMlima wa Liganga uliopo mkoani njombe wilaya ya Ludewa ambapo kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd.
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania China...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MRADI WA MAKAA YA MAWE NGAKA

Viongozi na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na wale wa NDC wakipata maelezo kuhusu mradi wa makaa ya mawe Ngaka kutoka kwa Mtaalam wa Kudhibiti Ubora (Quality Control Superintendent) Bw. Boscow R. Mabena.Timu kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na NDC wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kikundi cha Wanawake cha Mbalawala, Bi. Joyce Haule juu ya matumizi ya makaa ya mawe majumbani. Makaa hayo hutumika majumbani kwa kutumia majiko maalum baada ya kubadilishwa kitaalam na kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

TANCOAL watekeleza ombi la waziri Biteko,wakabidhi tani 30 za makaa ya mawe


Na Amiri kilagalila,Njombe
Kampuni ya uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe Tancoal imetekekeleza ombi la waziri wa madini Doto Biteko kwa kukabidhi tani 30 za makaa ya mawe,juu ya kumsaidia mzee Reuben Mtitu maarufu kwa jina la mzee Kisangani wa Kijiji cha Mkiu wilayani Ludewa Mkoani Njombe kutokana na changamoto ya upatikanaji wa makaa hayo kwa ajili ya kuyeyusha chuma ili kutengeneza bidhaa zake kama visu na nyundo.
Akizungumza wakati akikabidhi tani 30 za Lori la makaa yam awe,afisa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Mligi Mkucha.  Picha ya pamoja ya Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI NA WATAALAM WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAKAGUA MAENDELEO MRADI WA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

 Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa pili kulia), akipata maelezo juu ya Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma kutoka kwa Meneja Utawala Msaidizi wa kampuni ya Tanzania – China International Mineral Resources Limited (TCIMRL) Bw. Israel Mkojera. Pamoja nae ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Bw. Mlingi E. Mkucha (wa kwanza kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda Mama wa NDC Bw. Ramson Mwilangali (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango Bi....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kupikia gesi

KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...

 

11 years ago

Michuzi

Udanganyifu kwenye biashara ya gesi ya kupikia (LPG)

Mfano wa mitungi midogo ambayo haikutimia uzito unaotakiwa.  Salaam Ankal Michuzi. Tafadhali wahadharishe wadau kuhusu udanganyifu mkubwa unaofanyika hivi sasa kwenye mitungi ya gesi ya kupikia. Wajanja hao hupunguza gesi kutoka kwenye ile mitungi mikubwa na kupata mitungi midogo ambayo haijatimia uzito unaotakiwa. Jinsi ya kukwepa udanganyifu huu mkubwa ni  kuwa,  kila unaponunua gesi ya kupikia, kuhakikisha mtungi huo una "seal" kwenye sehemu ya kutolea gesi. Pili, usinunue mtungi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mafuta ya kupikia ya MO SAFI kwa mahitaji bora ya vyakula kwenye familia yako!!

11173318_715091675287121_403970394052586402_nBurger bomba  kama hii ya kuvutia iliyotengenezwa kwa mafuta bora ya Mo Safi,  zenye ufahari kutoka MeTL Group.

Je? umeshatumia bidhaa bora kutoka MO!! pata sasa zipo karibu nawe  NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Kampuni ya MeTL Group  imekuwa ni kati ya makampuni bora ndani  na nje ya Tanzania kwa kukuletea bidhaa bora kwa mahitaji sahihi  na ya matumizi na afya yako. Leo kupitia Modewji blog, tunakuletea kwa kifupi namna ya mafuta ya kupikia kutoka MeTL Group, MO Safi yatakavyopendezesha mlo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani