Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makosa ya kwenye madini yasirudiwe katika mafuta na gesi

UTAFITI uliofanywa  katika sekta ya madini unaonyesha kuwa Tanzania ina  aina 30 za madini mbalimbali ambapo ramani mpya ya madini kutoka wizara ya nishati na madini inaonyesha kuwa kila wilaya hapa nchini inakadiriwa kuwa na aina 30 za madini. Hata hivyo  hali ya uchumi wa Tanzania na  hali halisi ya maisha haifanani na watu wanaoishi katika nchi yenye madini na raslimali nyingi adimu kama vile madini ya dhahabu, almasi na Tanzanite ambapo miaka ya karibuni imegundulika uwepo mafuta na gesi...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Makosa yaliyofanyika kwenye madini yasirudiwe kwingineko

Utafiti uliofanywa katika sekta ya madini unaonyesha Tanzania ina aina 30 za madini. Ramani mpya ya madini kutoka wizara ya nishati na madini inaonyesha kuwa kila wilaya hapa nchini inakadiriwa kuwa na aina 30 za madini.

 

11 years ago

Habarileo

‘Tumieni ipasavyo fursa za madini, gesi, mafuta’

WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikra kwa kutumia ipasavyo fursa zilizopo katika tasnia ya madini, mafuta na gesi ili kujiletea maendeleo na kakabiliana na changamoto zake. Wito huo umetolewa na Mshauri Mwandamizi wa Kanda wa Masuala ya Mapato wa Taasisi ya Revenue Watch (RWI), Silas Ola'g .

 

9 years ago

Michuzi

Mikataba ya madini, gesi, mafuta kupitiwa na timu ya wataalam kabla ya kusainiwa

Mikataba ya madini, gesi, mafuta kupitiwa na timu ya wataalam kabla ya kusainiwa. Na Greyson Mwase, Morogoro Ili kuhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika na rasilimali za madini mbalimbali pamoja na gesi iliyogunduliwa kwa wingi hivi karibuni, Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa wataalam kutoka taasisi za serikali watakaohusika na upitiaji wa mikataba yote ya shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini, gesi na mafuta kabla ya kusainiwa. Hayo yalisemwa na Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHI WA LINDI NA MTWARA WAJADILIANA UWAZI KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Salum Ally akizungumza na baadhi ya wananchi wa Wilya ya Lindi na Mtwara kuhusiana na matarajio makubwa katika sekta ya Mafuta na Gesi pamoja na uundwaji wa mikakati ya mawasiliano katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alfred Luanda  ambaye alikuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene akizungumza katika mkutano uliokutanisha baadhi ya wananchi wa Wilaya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya UONGOZI yaandaa warsha ya wadau wa Serikali katika usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia

image001 (2)

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.

image002Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa waandamizi wakiwa China katika mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.

Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.  Mkurugenzi wa Mipango na Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China. Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat Ali Mbarouk.(Picha na Juma...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kuzindua timu ya wataalam wa mazungumzo katika mikataba ya gesi na mafuta kutoka serikalini na mafunzo yao maalum yaliyofanyika katika hoteli ya Park Hyatt kisiwani Zanzibar jana. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Bi. Sheila Khama Mkurugenzi wa Kituo cha Rasilimali za Afrika katika Benki ya Maendeleo ya Afrika. 

2

Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani