Mikataba ya madini, gesi, mafuta kupitiwa na timu ya wataalam kabla ya kusainiwa
Mikataba ya madini, gesi, mafuta kupitiwa na timu ya wataalam kabla ya kusainiwa. Na Greyson Mwase, Morogoro Ili kuhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika na rasilimali za madini mbalimbali pamoja na gesi iliyogunduliwa kwa wingi hivi karibuni, Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa wataalam kutoka taasisi za serikali watakaohusika na upitiaji wa mikataba yote ya shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini, gesi na mafuta kabla ya kusainiwa. Hayo yalisemwa na Waziri wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 May
Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta
Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta
11 years ago
Habarileo30 Mar
‘Tumieni ipasavyo fursa za madini, gesi, mafuta’
WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikra kwa kutumia ipasavyo fursa zilizopo katika tasnia ya madini, mafuta na gesi ili kujiletea maendeleo na kakabiliana na changamoto zake. Wito huo umetolewa na Mshauri Mwandamizi wa Kanda wa Masuala ya Mapato wa Taasisi ya Revenue Watch (RWI), Silas Ola'g .
11 years ago
KwanzaJamii13 Jul
Makosa ya kwenye madini yasirudiwe katika mafuta na gesi
10 years ago
Habarileo02 Jan
Vyama vyataka mikataba Tanesco kupitiwa upya
SERIKALI imetakiwa kupitia upya mikataba ya umeme ili kuwasaidia wananchi waweze kunufaika na miradi ya umeme inayozalishwa nchini.
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Lowassa: Nitapitia mikataba ya gesi
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema kama akichaguliwa kuwa rais, ataunda tume ya kuchunguza na kushughulikia mikataba yote ya gesi.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara jana, Lowassa alisema kama wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza Tanzania, atakahakikisha wanapatikana wataalamu kutoka ndani na nje ya nchi...
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
PAC yataka mikataba ya gesi
NA MARIAM MZIWANDA
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba yote ya gesi ambayo haijafanyiwa ukaguzi.
Pia imeagiza kuwasilishwa kwa taarifa za mapitio ya mikataba hiyo kesho kwa Katibu wa Bunge baada ya saa za kazi ili ifanyiwe ukaguzi kubaini utekelezaji wa miradi.
Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alisema hayo jana wakati wajumbe wa kamati hiyo walipokutana na uongozi wa TPDC.
Alisema TPDC lazima iwasilishe...
10 years ago
Mtanzania06 Jan
AG MASAJU: Nitaanza na mikataba ya gesi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju, amesema anataka muda zaidi ili aweze kuzungumzia suala la Kampuni ya Kufua Umeme Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na mikataba ya gesi ambayo imekuwa ikitakiwa kuwekwa wazi.
Masaju aliyasema hayo jana, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuchukua nafasi ya Jaji Frederick Werema, aliyejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye...