Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyama vyataka mikataba Tanesco kupitiwa upya

Katibu Mkuu wa SAU, Ali Kaniki SERIKALI imetakiwa kupitia upya mikataba ya umeme ili kuwasaidia wananchi waweze kunufaika na miradi ya umeme inayozalishwa nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sheria za elimu kupitiwa upya

OFISI ya Mrajisi wa Elimu Zanzibar imesema ipo katika mchakato wa kuzipitia baadhi ya sheria ambazo zinatoa mwanya zaidi kwa wazazi kuwaozesha watoto wa kike na kukosa haki na fursa ya kupata elimu ya lazima.

 

11 years ago

Mwananchi

Vyama vya michezo vyataka ruzuku

Shirikisho la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata), limevitaka vyama vya michezo kuungana na kutoa maoni yao kwenye rasimu ya sera ya maendeleo ya michezo kwa kuitaka Serikali irejeshe ruzuku kwenye vyama vya michezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Washauri sheria kinzani za fedha kupitiwa upya

Mfumo wa Benki wa Ufichaji wa Siri za Wateja (Bank Secress) uliopo, umeelezwa kuwa unachangia uhamishaji wa mabilioni ya fedha kutoka nchi za Afrika na kuwaacha Waafrika wakibaki maskini baada ya rasilimali zao kuhamishwa.

 

10 years ago

Habarileo

Ulipaji pensheni kwa wazee kupitiwa upya

SERIKALI imesema itaupitia mchakato ambao utatoa nafasi kwa wazee kuanza kulipwa pensheni ya kila mwezi baada ya kutoa mchango wao mkubwa wa utumishi kazini.

 

9 years ago

Michuzi

Mikataba ya madini, gesi, mafuta kupitiwa na timu ya wataalam kabla ya kusainiwa

Mikataba ya madini, gesi, mafuta kupitiwa na timu ya wataalam kabla ya kusainiwa. Na Greyson Mwase, Morogoro Ili kuhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika na rasilimali za madini mbalimbali pamoja na gesi iliyogunduliwa kwa wingi hivi karibuni, Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa wataalam kutoka taasisi za serikali watakaohusika na upitiaji wa mikataba yote ya shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini, gesi na mafuta kabla ya kusainiwa. Hayo yalisemwa na Waziri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Vyama vya siasa vyataka mwafaka wa Katiba Mpya

 Vyama vya siasa vimekubaliana kutafuta mwafaka wa agenda za Katiba Mpya kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyama vyataka tume iondoe utata hati ya Muungano

VYAMA vya siasa  vya UND, UNDP na Demokrasia Makini, wameitaka Tume ya Marekebisho  ya Katiba kutoa ufafanuzi juu ya hati ya muungano waliyoitumia wakati wa kuandaa rasimu ya katiba. Wakizungumza...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa kupitia upya mikataba

Pg 1 lowassasMAELFU ya wakazi wa mji wa Songea mkoani Ruvuma, jana walifurika katika uwanja wa Matalawe kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.

Hali hiyo ilitokea mjini Songea jana jioni wakati Lowassa alipowasili akitokea Mkoa wa Njombe alikohutubia mikutano miwili ya hadhara juzi katika miji ya Makambako na Njombe.

Wakati wa mapokezi ya mgombea huyo mjini hapa, walikuwapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa kupitia upya mikataba ya gesi

Mgombea wa urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameahidi kuunda kamati maalumu kuchunguza mikataba yote ya gesi asilia na mafuta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani