Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria za elimu kupitiwa upya

OFISI ya Mrajisi wa Elimu Zanzibar imesema ipo katika mchakato wa kuzipitia baadhi ya sheria ambazo zinatoa mwanya zaidi kwa wazazi kuwaozesha watoto wa kike na kukosa haki na fursa ya kupata elimu ya lazima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Washauri sheria kinzani za fedha kupitiwa upya

Mfumo wa Benki wa Ufichaji wa Siri za Wateja (Bank Secress) uliopo, umeelezwa kuwa unachangia uhamishaji wa mabilioni ya fedha kutoka nchi za Afrika na kuwaacha Waafrika wakibaki maskini baada ya rasilimali zao kuhamishwa.

 

10 years ago

Habarileo

Vyama vyataka mikataba Tanesco kupitiwa upya

Katibu Mkuu wa SAU, Ali Kaniki SERIKALI imetakiwa kupitia upya mikataba ya umeme ili kuwasaidia wananchi waweze kunufaika na miradi ya umeme inayozalishwa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Ulipaji pensheni kwa wazee kupitiwa upya

SERIKALI imesema itaupitia mchakato ambao utatoa nafasi kwa wazee kuanza kulipwa pensheni ya kila mwezi baada ya kutoa mchango wao mkubwa wa utumishi kazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk Kigoda: Sheria za usafirishaji ziangaliwe upya

SERIKALI imesema ipo haja ya kuangalia baadhi ya sheria zilizowekwa katika sekta ya usafirishaji kwa kuwa nyingi ya sheria hizo zinafaidisha nchi jirani. Akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo wa elimu upitiwe upya’

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ameitaka Serikali kupitia upya mfumo wa elimu na kuanzisha ule unaoongeza uwezo wa kufikiri na kuondoa utamaduni wa kubuni unaozidi kukua.

 

10 years ago

Mwananchi

Sekta ya elimu ijengwe upya

MATOKEO ya kidato cha nne yameshtua wengi Tanzania.  Pamoja na laumu hizo kwenda huku na kule,  lakini sidhani kama kuna sababu ya kushtuka, kwa sababu tatizo hili sio la leo

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau: Mfumo wa elimu utazamwe upya

Ni jambo la kawaida kwa wanafunzi wanaohitimu elimu ya msingi au sekondari kutokuwa na ustadi wa maisha hasa wa kujitegemea na kuepuka kuwa tegemezi kwa wazazi au walezi wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni mwaka mpya, tufikiri upya kuinusuru elimu yetu

Niwatakie heri na baraka ya mwaka mpya 2014. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuvuka mwaka salama na kuanza mwaka mwingine kuijenga nchi yetu.

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani