Lowassa kupitia upya mikataba
MAELFU ya wakazi wa mji wa Songea mkoani Ruvuma, jana walifurika katika uwanja wa Matalawe kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.
Hali hiyo ilitokea mjini Songea jana jioni wakati Lowassa alipowasili akitokea Mkoa wa Njombe alikohutubia mikutano miwili ya hadhara juzi katika miji ya Makambako na Njombe.
Wakati wa mapokezi ya mgombea huyo mjini hapa, walikuwapo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Lowassa kupitia upya mikataba ya gesi
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Katibu mkuu Yanga kupitia upya anza na mikataba ya udhamini
10 years ago
Habarileo02 Jan
Vyama vyataka mikataba Tanesco kupitiwa upya
SERIKALI imetakiwa kupitia upya mikataba ya umeme ili kuwasaidia wananchi waweze kunufaika na miradi ya umeme inayozalishwa nchini.
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Lowassa: Nitapitia mikataba ya gesi
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema kama akichaguliwa kuwa rais, ataunda tume ya kuchunguza na kushughulikia mikataba yote ya gesi.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara jana, Lowassa alisema kama wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza Tanzania, atakahakikisha wanapatikana wataalamu kutoka ndani na nje ya nchi...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Vyuo vikuu vyaaswa kupitia upya mitaala wahitimu kujiajiri
VYUO vikuu nchini vimeshauriwa kuangalia upya mitaala yao ili viwe na mfumo wa kutengeneza mazingira ya vijana kujiajiri mara baada ya kuhitimu masomo yao ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa ajira uliopo hivi sasa.
9 years ago
Habarileo22 Sep
Lowassa: Nitaunda tume ya mikataba ya gesi asilia
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa Mtwara kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais, ataunda tume maalumu kuchunguza mikataba ya gesi asilia.
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Waziri Mkuu aitaka TPA kupitia upya zoezi la fidia kwa wananchi wa Kigoma
Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari. (Picha na Emmanuel Senny).
Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEzEdRfP8J0aNpmVBQ*FfXtIKqRQjLYwMtlYE2TSgSJCw4crkN10x9NEe0D6yfoNrVJC8rJwPP5kfch0V7SZPSjV/lowasa.gif?width=650)
LOWASSA AWA GUMZO UPYA!