Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu mkuu Yanga kupitia upya anza na mikataba ya udhamini

Katibu mpya wa Yanga, Dk . Jonas Tiboroha , ametangaza mikakati yake ya kuhakikisha klabu hiyo inajiendesha kiuchumi ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba yote ya wadhamini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa kupitia upya mikataba

Pg 1 lowassasMAELFU ya wakazi wa mji wa Songea mkoani Ruvuma, jana walifurika katika uwanja wa Matalawe kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.

Hali hiyo ilitokea mjini Songea jana jioni wakati Lowassa alipowasili akitokea Mkoa wa Njombe alikohutubia mikutano miwili ya hadhara juzi katika miji ya Makambako na Njombe.

Wakati wa mapokezi ya mgombea huyo mjini hapa, walikuwapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa kupitia upya mikataba ya gesi

Mgombea wa urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameahidi kuunda kamati maalumu kuchunguza mikataba yote ya gesi asilia na mafuta.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu aitaka TPA kupitia upya zoezi la fidia kwa wananchi wa Kigoma

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majariwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari (Picha na Emmanuel Senny) (2)

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari. (Picha na Emmanuel Senny).

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majariwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari (Picha na Emmanuel Senny)

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kulifungua. (Picha na Emmanuel Senny) (1)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya...

 

11 years ago

GPL

MWAKA UNAISHA, ANZA UPYA KWA MWENZI WAKO!

HUU ni msimu wa sikukuu! Juzi, tumesherehekea Sikukuu ya Krismasi na sasa tunaelekea Mwaka Mpya 2014. Kwa nguvu za Mungu tutafika salama. Ndugu zangu, hebu tutafakari vizuri kuhusu mwaka uliopita na kuangalia cha maana tulichofanya kwa wenzi wetu. Tuliwaumiza au tuliwapa furaha? Je, kupitia kona hii matatizo yameondoka, yamepungua au yameongezeka?  Nimeandika mada nyingi ambazo zimewagusa watu wengi. Ujumbe wenu na simu...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta

Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania leo imezindua timu ya wataalam ambao wamechaguliwa kwa ajili ya kuwakilisha serikali katika mazungumzo ya mikataba ya gesi asilia na mafuta na kampuni za kimataifa ya gesi asilia na mafuta ili kuweza kuleta mikataba yenye manufaa makubwa kijamii na kiuchumi kwa ajili ya taifa la Tanzania na watu wake kwa ujumla.  Timu hii ya wataalam inajumuisha watu 25 wenye utaalam mbali mbali waliochukuliwa kutoka ofisi na taasisi tofauti za serikali ili...

 

10 years ago

Habarileo

Vyama vyataka mikataba Tanesco kupitiwa upya

Katibu Mkuu wa SAU, Ali Kaniki SERIKALI imetakiwa kupitia upya mikataba ya umeme ili kuwasaidia wananchi waweze kunufaika na miradi ya umeme inayozalishwa nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Katibu mkuu mpya Yanga Jonas Tibohora .

Katibu mkuu mpya wa YANGA Jonas Tibohora ameahidi makubwa kwenye klabu ya Yanga.

 

5 years ago

Michuzi

YANGA YAAACHANA NA KATIBU MKUU DKT RUHAGO


Na Zainab  Nyamka

Uongozi wa Klabu ya Yanga umeachana na Katibu wake Dkt David Ruhago baada ya kufikia makubaliano kwa pande zote mbili.

Taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo wamesema kuwa makubaliano ya kusitisha mkataba wa ajira ya Ukatibu Mkuu ndani ya Yanga yamefikiwa leo Juni 15 mwaka huu.

Taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga Hassan Bumbuli imesema kusitishwa kwa ajira hiyo ni baada ya majadiliano ya pande zote mbili kwa maslahi mapana ya Klabu ya Yanga.

Amesema, kufuatia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani