Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAAACHANA NA KATIBU MKUU DKT RUHAGO


Na Zainab  Nyamka

Uongozi wa Klabu ya Yanga umeachana na Katibu wake Dkt David Ruhago baada ya kufikia makubaliano kwa pande zote mbili.

Taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo wamesema kuwa makubaliano ya kusitisha mkataba wa ajira ya Ukatibu Mkuu ndani ya Yanga yamefikiwa leo Juni 15 mwaka huu.

Taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga Hassan Bumbuli imesema kusitishwa kwa ajira hiyo ni baada ya majadiliano ya pande zote mbili kwa maslahi mapana ya Klabu ya Yanga.

Amesema, kufuatia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN AWAAPISHA KAIMU JAJI MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU AFYA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima  Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu mpya TCRA Dkt.Ally Yahaya Simba amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo


 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba(Kushoto) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimueleza Dkt. Ally Yahaya Simba (Kushoto) umuhimu wa kuendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano,alipomtembelea leo...

 

5 years ago

CCM Blog

DKT. BASHIRU ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU MKUU CUF

   Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mwili wa Marehemu Khalifa ambaye enzi ya uhai wake aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Gando, umeswaliwa katika Msikiti wa Maamur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Kisutu.

Viongozi mbalimbali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Katibu mkuu mpya Yanga Jonas Tibohora .

Katibu mkuu mpya wa YANGA Jonas Tibohora ameahidi makubwa kwenye klabu ya Yanga.

 

5 years ago

Michuzi

DKT ZAINAB CHAULA, KATIBU MKUU MPYA AWASILI WIZARANI MAWASILIANO

❖ Asema TEHAMA Itatutoa Kwenye Changamoto, Tuitumie Kama Fursa
❖ Serikalini Ni Kama Nyumba, Amehamia Chumba Kingine
❖ Amewataka Wafanyakazi Wasiwe na Hofu kwa Kuwa Corona ni Mafua Tu

Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula, amewasili rasmi leo Wizarani hapo Mji wa Serikali, Mtumba, Dodoma kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Sekta hiyo mara baada ya kuhamishwa kutoka Wizara ya Afya,...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA BW.RAYMOND KATIBU MKUU WA KIMAIFA WA USAFIRI WA ANGA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed...

 

5 years ago

CCM Blog

SUMAYE AKABIDHIWA KADI YA UANACHAMA NA KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally (aliyesimama) akizungumza jambo kabla ya hafla fupi ya kumkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho Waziri Muu Mstaafu ndugu Fredrick Sumaye leo Machi 29 jijini Dodom.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda (aliyesimama) akizungumza jambo katika hafla fupi ya kukabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho Waziri Muu Mstaafu ndugu Fredrick Sumaye leo Machi 29 jijini Dodom. 
 Waziri Muu...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Balozi Said Djinit ambaye alimtembelea nyumbani kwake jana kusalimiana naye. Balozi Djinit aliwahi kuwa Msaidizi wa Mheshimiwa Salim Ahmed Salim wakati akiongoza OAU.

 

10 years ago

Mwananchi

Katibu mkuu Yanga kupitia upya anza na mikataba ya udhamini

Katibu mpya wa Yanga, Dk . Jonas Tiboroha , ametangaza mikakati yake ya kuhakikisha klabu hiyo inajiendesha kiuchumi ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba yote ya wadhamini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani