Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKA UNAISHA, ANZA UPYA KWA MWENZI WAKO!

HUU ni msimu wa sikukuu! Juzi, tumesherehekea Sikukuu ya Krismasi na sasa tunaelekea Mwaka Mpya 2014. Kwa nguvu za Mungu tutafika salama. Ndugu zangu, hebu tutafakari vizuri kuhusu mwaka uliopita na kuangalia cha maana tulichofanya kwa wenzi wetu. Tuliwaumiza au tuliwapa furaha? Je, kupitia kona hii matatizo yameondoka, yamepungua au yameongezeka?  Nimeandika mada nyingi ambazo zimewagusa watu wengi. Ujumbe wenu na simu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao  akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa zaidi katika kuonekana wa kawaida au kudharauliwa ni kuachana wakati wowote – kwa ghafla. Mara nyingi tendo la kuachana kwa wenzi wa aina hii huwa hakuna sababu kubwa sana. Jambo dogo tu linaweza kukatisha uhusiano lakini kumbe ndani kuna siri nyingine kubwa zaidi; kushuka thamani – kupoteza...

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3

KAMA kuna mambo muhimu unayotakiwa kuyajua katika mapenzi ni pamoja na umuhimu wako kwa mwenzi wako. Ndugu zangu, huwezi kuwa kwenye uhusiano ambao hauna faida. Mambo yanakwenda hovyo, huthaminiwi wala kupewa kipaumbele. Katika mada hii tunaendelea kuangalia ni kwa namna gani utakuwa mwenye umuhimu kwenye uhusiano wako. Ngoja niwachekeshe kidogo; kuna wakati niliwahi kukutana na msichana mmoja ofisini akihitaji ushauri. Jambo...

 

11 years ago

GPL

UNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?

NINA kila sababu ya kumshukuru Muumba wangu kwakuwa yeye ndiye mlinzi na kiongozi wa maisha yangu, bila yeye mimi na wewe tusingekuwepo hivyo basi tuna wajibu wa kumshukuru kila wakati. Leo nitazungumza moja kwa moja na wanandoa. Nitazungumza juu ya jambo muhimu sana, unyenyekevu na uvumilivu katika ndoa bila kujali jinsi, je ni utumwa? Hapa kila mmoja atakuwa na jibu lake, lakini leo nataka kuwapa ukweli wa kitaalam. Kuna usemi...

 

11 years ago

GPL

UNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?-2

MARAFIKI Ijumaa ijayo itakuwa ni Sikukuu ya Wapendanao. Naamini kuna mengi mmepanga kwa ajili ya wenzi wenu, ni jambo zuri hakika. Hapa kwenye Let’s Talk About Love nimewaandalia zawadi nzuri sana ambayo nitawapatia wiki ijayo. Hebu sasa tumalizie mada yetu. Msingi wa mada hii ni unyenyekevu kwa mwenzi wako. Je, ni utumwa? Tumeona mengi wiki iliyopita, ambapo niliishia kwenye kipengele cha uvumilivu. Ndugu zangu, katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Anza mwaka kwa mwonekano mpya

Mwaka unapomalizika, wengi huwa na matarajio makubwa hasa kubadilisha mfumo wa maisha kuendana na mabadiliko ya mwaka, lakini, pamoja na hayo, wapo wanaoona kuwa hakuna haja ya kufanya hivyo wakiamini, wanachotaka kufanya hakihitaji mabadiliko.

 

11 years ago

Mwananchi

Anza mwaka kwa kufuata mwenendo huu

Mara nyingi inapofika mwisho wa mwaka kila mmoja wetu hufanya tathmini ya mambo aliyoshiriki kwa mwaka mzima, pia hupata wasaa wa kupanga ratiba ya mambo yake anayotarajia kufanya kwa mwaka unaofuta.

 

9 years ago

MillardAyo

Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3…

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na […]

The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 […]

The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka unaisha bila maendeleo ya michezo

“Chaneta hawaelewani na uongozi uliopita,” “Ngumi watembeza bakuli”, “Soka yapoteza dira”, “RT walia na Serikali”, hivyo na vingine vingi vya aina hiyo vilikuwa ni vichwa vya habari vilivyotawala vyombo vya habari mwaka huu 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani