Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3

KAMA kuna mambo muhimu unayotakiwa kuyajua katika mapenzi ni pamoja na umuhimu wako kwa mwenzi wako. Ndugu zangu, huwezi kuwa kwenye uhusiano ambao hauna faida. Mambo yanakwenda hovyo, huthaminiwi wala kupewa kipaumbele. Katika mada hii tunaendelea kuangalia ni kwa namna gani utakuwa mwenye umuhimu kwenye uhusiano wako. Ngoja niwachekeshe kidogo; kuna wakati niliwahi kukutana na msichana mmoja ofisini akihitaji ushauri. Jambo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao  akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa zaidi katika kuonekana wa kawaida au kudharauliwa ni kuachana wakati wowote – kwa ghafla. Mara nyingi tendo la kuachana kwa wenzi wa aina hii huwa hakuna sababu kubwa sana. Jambo dogo tu linaweza kukatisha uhusiano lakini kumbe ndani kuna siri nyingine kubwa zaidi; kushuka thamani – kupoteza...

 

11 years ago

GPL

UNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?

NINA kila sababu ya kumshukuru Muumba wangu kwakuwa yeye ndiye mlinzi na kiongozi wa maisha yangu, bila yeye mimi na wewe tusingekuwepo hivyo basi tuna wajibu wa kumshukuru kila wakati. Leo nitazungumza moja kwa moja na wanandoa. Nitazungumza juu ya jambo muhimu sana, unyenyekevu na uvumilivu katika ndoa bila kujali jinsi, je ni utumwa? Hapa kila mmoja atakuwa na jibu lake, lakini leo nataka kuwapa ukweli wa kitaalam. Kuna usemi...

 

11 years ago

GPL

UNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?-2

MARAFIKI Ijumaa ijayo itakuwa ni Sikukuu ya Wapendanao. Naamini kuna mengi mmepanga kwa ajili ya wenzi wenu, ni jambo zuri hakika. Hapa kwenye Let’s Talk About Love nimewaandalia zawadi nzuri sana ambayo nitawapatia wiki ijayo. Hebu sasa tumalizie mada yetu. Msingi wa mada hii ni unyenyekevu kwa mwenzi wako. Je, ni utumwa? Tumeona mengi wiki iliyopita, ambapo niliishia kwenye kipengele cha uvumilivu. Ndugu zangu, katika...

 

11 years ago

GPL

MWAKA UNAISHA, ANZA UPYA KWA MWENZI WAKO!

HUU ni msimu wa sikukuu! Juzi, tumesherehekea Sikukuu ya Krismasi na sasa tunaelekea Mwaka Mpya 2014. Kwa nguvu za Mungu tutafika salama. Ndugu zangu, hebu tutafakari vizuri kuhusu mwaka uliopita na kuangalia cha maana tulichofanya kwa wenzi wetu. Tuliwaumiza au tuliwapa furaha? Je, kupitia kona hii matatizo yameondoka, yamepungua au yameongezeka?  Nimeandika mada nyingi ambazo zimewagusa watu wengi. Ujumbe wenu na simu...

 

11 years ago

GPL

UMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?

INAHITAJI kufikiri tu ili uweze kuwa katika uhusiano bora. Ukiacha ubongo wako nafasi ya kujifunza vitu vipya, hakika hakuna kitakacho-kusumbua katika mapenzi. Hata hivyo, ukiwa mwenye kujijali mwenyewe, hasira, chuki na mgomvi wakati wote, hutajenga uhusiano imara. Mapenzi ni furaha, hata siku moja, ubabe haujawahi kutengeneza ladha iliyo sawasawa kwenye mapenzi. Hapa katika All About Love ni sehemu yako sahihi kukuza ufahamu...

 

11 years ago

GPL

UMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?-2

KUJUA anachohitaji mwenzako ni kila kitu katika uhusiano na ni vyema basi kila wakati kujifunza mbinu za kuendelea kuwa bora zaidi kwa mwenzi wako. Yes! Hapa katika All About Love ni sehemu sahihi ya kukuza uelewa wako. Tunapitia mambo muhimu ambayo wanawake wengi huvutiwa nayo kwa wanaume. Kuyajua kutakufanya uendelee kuwa mbabe kwenye sayari hii. Ni mada yenye lengo la kuwasaidia zaidi wanaume ambao hawafahamu ni nini hasa...

 

10 years ago

GPL

KIPIGO KINAWEZA KUMNYOOSHA MWENZI WAKO?

Mwaka mpya huoo umeshaanza kuyoyoma! Vipi hali yako msomaji wangu wa uwanja wetu huu mzuri! Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu tujadili mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.
Suala la wanandoa au wapenzi kupigana siyo geni, huenda hata wewe unafanya au unafanyiwa, au pengine hata usiku wa jana umeshuhudia jirani, ndugu au rafiki yako akimpiga au kupigwa na ampendaye. Vipigo kwa watu wawili wa jinsia tofauti wanaoishi...

 

10 years ago

Mwananchi

MITINDO: Vaa sare na mwenzi wako

Umewahi kutamani kuwa na mwonekano wa kimavazi unaoendana na mwenza wako na hujui ufanye nini?

 

10 years ago

GPL

KIPIGO KINAWEZA KUMNYOOSHA MWENZI WAKO?-2

Ni Jumatatu nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu, nakukaribisha kwa moyo mkunjufu ujumuike nami jamvini. Wiki iliyopita, tulianza kujadili mada yetu kama inavyojieleza kwa kuhoji kwamba kipigo kinaweza kusaidia kumnyoosha mwenzi wako?
Nianze kwa kukushukuru wewe ambaye ulituma ujumbe wako mfupi wa maandishi (SMS) ukichangia mada hii. Maoni yako ni ya muhimu sana na binafsi nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwako....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani