Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AWA GUMZO UPYA!

Mwandishi Wetu Hakuna ubishi kuwa jina la Edward Lowassa limepamba vichwa vya habari nchini kwa miezi kadhaa huku gumzo jipya kumhusu mwanasiasa huyo likitokana na safari yake ya kuelekea muungano wa nyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) kutangazwa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1SMh6Kh

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LOWASSA AWA GUMZO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Stori  stori: Mwandishi Wetu
UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima juzi, umemuibua na kumfanya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa (pichani) kuwa gumzo kubwa, baada ya kutajwa na wagombea kuwa ndiye turufu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaani mrithi muafaka wa Rais Jakaya Kikwete. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Wagombea mbalimbali  wa CCM waliozungumza na gazeti hili baada ya uchaguzi huo juzi,...

 

11 years ago

GPL

BETHIDEI YA DIAMOND, WEMA AWA GUMZO!

Stori: Waandishi Wetu
NI Gumzo! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi pati ya kuzaliwa ya supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ametimiza umri wa miaka 25, iliyofanyika usiku wa kuamikia jana kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee Tower (PSPF), Posta jijini Dar, Risasi Jumamosi lilikuwepo ndani ya nyumba. Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mpenzi...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATINUMZ AWA GUMZO USIKU HUU MLIMANI CITY

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.…

 

10 years ago

Vijimambo

BREKING NEWS: MWANA DIASPORA KUTOKA DMV AWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" katika ubora wake ameweza kukonga nyoyo za watu wa Mbarali na Watanzania kwa ujumla. Mwang'ombe ameingia kwa style tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa wakivaa kombati au sale za CHADEMA: Yeye, Mwang'ombe, alitokea halmashauri akiwa amepigilia suti nyeusi na tai nyekundu huku akiwa anakitambaa chenye rangi za CHADEMA na beji ya CHADEMA.  Wana Mbarali wengi wameonyeshwa kufurahishwa na Mwang'ombe aliye onyesha style tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AWA GUMZO KILA PEMBE YA DUNIA, MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA WAKUNA WENGI

Na Sultani Kipingo wa Michuzi TVRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa gumzo kubwa sana duniani kwa siku kadhaa sasa toka aongee mjini Chato wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mhe. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Augustine Mahiga aliyefariki Ijumaa iliyopita.

Vyombo vya habari vyote vikubwa duniani, kama vile televisheni  za CNN, Al Jazeera, Sky News, BBC, CBS, DW, VOA pamoja na magazeti ya New York...

 

10 years ago

GPL

USHIRIKI WA LOWASSA VITANI WAIBUA GUMZO

Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Na Mwandishi Wetu USHIRIKI wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa katika vita vya kumng’oa Nduli Idd Amin wa Uganda mwaka 1978/79 umeibua gumzo kufuatia madai ya katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yussuf Makamba kushabihiana na ya Makongoro Nyerere aliyedai kuwa hakuwahi kumwona mstari wa mbele. Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania, Mwl. J.K Nyerere na makamanda wa Jeshi. Katika mkutano...

 

10 years ago

GPL

STAILI YA KAMPENI YA LOWASSA YAZUA GUMZO

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyai Lowassa akiwa kwenye daladala. MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyai Lowassa amezua gumzo kubwa baada ya kutumia staili ya kupanda daladala na wananchi wa kawaida, kitu kinachoonekana kuwa ni kampeni ya aina yake.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MSRMnv ...

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa kupitia upya mikataba

Pg 1 lowassasMAELFU ya wakazi wa mji wa Songea mkoani Ruvuma, jana walifurika katika uwanja wa Matalawe kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.

Hali hiyo ilitokea mjini Songea jana jioni wakati Lowassa alipowasili akitokea Mkoa wa Njombe alikohutubia mikutano miwili ya hadhara juzi katika miji ya Makambako na Njombe.

Wakati wa mapokezi ya mgombea huyo mjini hapa, walikuwapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa kupitia upya mikataba ya gesi

Mgombea wa urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameahidi kuunda kamati maalumu kuchunguza mikataba yote ya gesi asilia na mafuta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani