Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AWA GUMZO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Stori  stori: Mwandishi Wetu
UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima juzi, umemuibua na kumfanya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa (pichani) kuwa gumzo kubwa, baada ya kutajwa na wagombea kuwa ndiye turufu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaani mrithi muafaka wa Rais Jakaya Kikwete. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Wagombea mbalimbali  wa CCM waliozungumza na gazeti hili baada ya uchaguzi huo juzi,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LOWASSA AWA GUMZO UPYA!

Mwandishi Wetu Hakuna ubishi kuwa jina la Edward Lowassa limepamba vichwa vya habari nchini kwa miezi kadhaa huku gumzo jipya kumhusu mwanasiasa huyo likitokana na safari yake ya kuelekea muungano wa nyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) kutangazwa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1SMh6Kh

 

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji...

 

10 years ago

StarTV

Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

Na, Winifrida Ndunguru

Dar Es Salaam.

15 December 2014

 

 

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

 

 

Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.

 

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

      Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi Serikali za Mitaa shakani

UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, upo shakani kufanyika. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akizungumza na mameya wa majiji, manispaa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Uchaguzi serikali za mitaa usiahirishwe’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema hakuna haja ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kisingizio cha mchakato wa katiba kwani masuala hayo hayahusiani. Hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa

Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimeilalamikia Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kwa madai ya kushindwa kukamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Serikali za Mitaa Desemba

Hatimaye Serikali imetangaza kuwa Desemba 14 itakuwa siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Uchaguzi serikali za mitaa Des 14

Waziri Mkuu, Mizengo PindaKIPENGA cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kinatarajiwa kupulizwa Novemba 30 mwaka huu na uchaguzi kufanyika Desemba 14 chini ya sheria zilizopo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani