Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STAILI YA KAMPENI YA LOWASSA YAZUA GUMZO

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyai Lowassa akiwa kwenye daladala. MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyai Lowassa amezua gumzo kubwa baada ya kutumia staili ya kupanda daladala na wananchi wa kawaida, kitu kinachoonekana kuwa ni kampeni ya aina yake.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MSRMnv ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Staili za Dk Magufuli, Lowassa zakoleza kampeni

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, vituko vinazidi kwenye majukwaa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aibua staili mpya ya kampeni

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alianza kampeni kwa staili ya aina yake kwa kusafiri kwa daladala kuangalia hali ya usafiri wa umma katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni siku ya tatu tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yamtahadharisha Lowassa staili ya kampeni zake

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtahadharisha mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa kuwa kampeni alizoanza kwa kuyatembelea makundi kadhaa zinaweza kutumiwa na maadui wa kisiasa kumdhuru.

 

10 years ago

Michuzi

LUKU YAZUA GUMZO NCHINI

Pichani ni baadhi ya wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar, wakiwa kwenye foleni ya kununua umeme wa luku kwenye kituo cha Sayansi, Kijitonyama baada ya kupatwa na kwikwi kwa siku kadhaa zilizopita kwenye vituo vingine pamoja na kwenye mitandao ya simu.ila sasa Tanesco wametoa taarifa na kusema mambo yako mswano kwa sasa.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)  TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA LUKU KWA BAADHI YA MAWAKALA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa ufafanuzi juu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Helikopta yazua gumzo Kalenga

Wakazi wa Kijiji cha Ndiwili, Kata ya Magulilwa jimboni Kalenga, juzi walifunga shughuli zote katika kijiji hicho na kujitokeza kwa wingi kushuhudia mkutano wa Chadema ambao viongozi wake walitua katika kijiji hicho kwa kutumia helikopta.

 

10 years ago

CloudsFM

Picha ya Zari akioga bafuni yazua gumzo mtandaoni

Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadili.

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo: faridahfakhi Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu

santamolly1234 ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata...

 

9 years ago

Mwananchi

Staili ya Magufuli kampeni za Uchaguzi Mkuu

Juni 4, Dk John Magufuli alijitokeza ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma, saa 11.30 jioni na kuchukua fomu za kuwania urais, akiwa amevalia sare za chama chake, suruali nyeusi na shati la kijani, akisindikizwa na mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama na wapambe wengine wawili.

 

10 years ago

Mwananchi

Marafiki wa Lowassa waja na staili mpya

Daniel Mjema na Rehema Matowo, Mwananchi

 

10 years ago

Mwananchi

Staili ya Chegeni yatumika tena kumshawishi Edward Lowassa

Staili aliyotumia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Dk Raphael Chegeni kumshawishi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa agombee urais imetumika tena jana baada ya makundi mbalimbali ya jamii kwenda nyumbani kwake Monduli na kumtaka achukue uamuzi huo haraka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani