BREKING NEWS: MWANA DIASPORA KUTOKA DMV AWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" katika ubora wake ameweza kukonga nyoyo za watu wa Mbarali na Watanzania kwa ujumla. Mwang'ombe ameingia kwa style tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa wakivaa kombati au sale za CHADEMA: Yeye, Mwang'ombe, alitokea halmashauri akiwa amepigilia suti nyeusi na tai nyekundu huku akiwa anakitambaa chenye rangi za CHADEMA na beji ya CHADEMA. Wana Mbarali wengi wameonyeshwa kufurahishwa na Mwang'ombe aliye onyesha style tofauti na wagombea wengi ambao wamekuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboDEVELOPING STORY: PICHA: MWANA DIASPORA BADO AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboMWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUZOA UMAARUFU MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboJUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze...
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
Kwenye hotuba yake Mh. Mwang'ombe amesisitizia umoja, ushirikiano...
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA DIASPORA, USA, AENDELEA KUWA TISHIO MBIO ZA UBUNGE
Ni Liberatus Mwang’ombe “ Libe”, au kama watu wa Mbarali wanavyo muita “Mnyamwezi” aliye wahi kukaaa DMV (DC, Maryland na Virginia) ameendelea kuwa gumzo kwenye mbio za Ubunge jimboni Mbarali. Mwang’ombe amekuwa akivunja rekodi kwa kila mkutano anao fanya; amekuwa anakusanya watu wengi sana kuliko kipindi chochote cha ubunge jimboni Mbarali
Uwezo wa Mwang’ombe kutoa hotuba za umoja, ushirikiano na bila kuweka uchama imekuwa...
9 years ago
VijimamboJUST IN: MBIO ZA UBUNGE: MWANA-DIASPORA AKUTANA NA WANAFUNZI MBALMBALI
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: KIJANA KUTOKA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na: Rehema Sarmet 301 367 9711Lukresia 240 593 5973Jabil 240 604 0574
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bJ25y9fAz54/VYjQvDozADI/AAAAAAAABSM/JByCO_vijBE/s72-c/John%2BMashaka3.jpg)
MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI, JOHN MASHAKA NI MFANO WA KUIGWA
Huu ni mradi wa aina yake, kwani unatoa maji safi na salama. Na ina uwezo wa kusafisha...