JUST IN: MBIO ZA UBUNGE: MWANA-DIASPORA AKUTANA NA WANAFUNZI MBALMBALI
Kila anapo pita mwana-Diaspora kutoka Marekani, Liberatus Mwang'ombe, "Libe", amekuwa akivutia watu na wanafunzi kutaka waongee naye. Akiongea na wanafunzi wa Rujewa Day na Mawindi Secondary Mh. Mwang'ombe amesema anaandaa "Town Hall Meeting" ambapo atawaalika wagombea Ubunge wote Jimbo la Mbarali, wanafunzi na wasomi wote wilayani Mbarali kwaajili ya majadiliano. Kwenye mkutano huo wagombea wataulizwa "vision" zao juu ya Mbarali na wanafunzi hao. Tarehe ya "Town Hall Meeting" itakuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUZOA UMAARUFU MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboJUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze...
9 years ago
VijimamboBREKING NEWS: MWANA DIASPORA KUTOKA DMV AWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboDEVELOPING STORY: PICHA: MWANA DIASPORA BADO AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA DIASPORA, USA, AENDELEA KUWA TISHIO MBIO ZA UBUNGE
Ni Liberatus Mwang’ombe “ Libe”, au kama watu wa Mbarali wanavyo muita “Mnyamwezi” aliye wahi kukaaa DMV (DC, Maryland na Virginia) ameendelea kuwa gumzo kwenye mbio za Ubunge jimboni Mbarali. Mwang’ombe amekuwa akivunja rekodi kwa kila mkutano anao fanya; amekuwa anakusanya watu wengi sana kuliko kipindi chochote cha ubunge jimboni Mbarali
Uwezo wa Mwang’ombe kutoa hotuba za umoja, ushirikiano na bila kuweka uchama imekuwa...
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: KIJANA KUTOKA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na: Rehema Sarmet 301 367 9711Lukresia 240 593 5973Jabil 240 604 0574
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-sH3mkf-UXIA/VdsbK2duczI/AAAAAAAADR4/k94FqmGbvnM/s72-c/GILBERT%2BCHADEMA.jpg)
FIRM: CONFIRMED: BEYOND THE REASONABLE DOUBT: MWANA DIASPORA KUELEKEA BUNGENI KWA SAUTI YA DIASPORA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sH3mkf-UXIA/VdsbK2duczI/AAAAAAAADR4/k94FqmGbvnM/s640/GILBERT%2BCHADEMA.jpg)
Ndugu zangu wana Diaspora; Nimeanza kazi ya kutengeneza vipeperushi na harakati nyingine za kampeni. Tunatarajia kuzindua kampeni Jumapil August, 30, 2015. Leo nimetengeneza vipeperushi vya kuvaa shingoni 500 kwa Tsh 400/= each. Vinahitajika atleast 20,000. Nimetengeneza 16 vikubwa vya kuweka kwenye magari, Tsh 6250/= each. Jimbo ni kubwa sana; lina wapiga kura 143,189.
Kwa leo nimetumia Tsh 300,000/= kwa vipeperushi 500 vya shingoni na 16 vikubwa kwaajili ya kuweka kwenye magari. Vya...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bJ25y9fAz54/VYjQvDozADI/AAAAAAAABSM/JByCO_vijBE/s72-c/John%2BMashaka3.jpg)
MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI, JOHN MASHAKA NI MFANO WA KUIGWA
Huu ni mradi wa aina yake, kwani unatoa maji safi na salama. Na ina uwezo wa kusafisha...