DEVELOPING STORY: PICHA: MWANA DIASPORA BADO AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
Ni Liberatus Mwang'ombe ambaye amewahi kukaa Washigton D.C., ameendelea kukonga nyoyo za wana Mbarali kwa kila uchao. Kila baada ya mkutano wananchi wa Mbarali wamekuwa wakimuomba asipande gari na watembee naye umbali wa kilometer 2 hadi 3. "Wangapi watanipeleka Dododma? Mikono juu". Hayo yalikuwa maneno ya Mh. Mwang'ombe akiwauliza wananchi ambao wote walinyosha mikono juu
Baada ya mkutano mitaa ilifungwa na wananchi kumwambia Mh. Mwang'ombe asipande gari bali atembee nao umbali wa kilometer...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboJUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze...
9 years ago
VijimamboBREKING NEWS: MWANA DIASPORA KUTOKA DMV AWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboMWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUZOA UMAARUFU MBIO ZA UBUNGE
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: KIJANA KUTOKA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na: Rehema Sarmet 301 367 9711Lukresia 240 593 5973Jabil 240 604 0574
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
Kwenye hotuba yake Mh. Mwang'ombe amesisitizia umoja, ushirikiano...
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA DIASPORA, USA, AENDELEA KUWA TISHIO MBIO ZA UBUNGE
Ni Liberatus Mwang’ombe “ Libe”, au kama watu wa Mbarali wanavyo muita “Mnyamwezi” aliye wahi kukaaa DMV (DC, Maryland na Virginia) ameendelea kuwa gumzo kwenye mbio za Ubunge jimboni Mbarali. Mwang’ombe amekuwa akivunja rekodi kwa kila mkutano anao fanya; amekuwa anakusanya watu wengi sana kuliko kipindi chochote cha ubunge jimboni Mbarali
Uwezo wa Mwang’ombe kutoa hotuba za umoja, ushirikiano na bila kuweka uchama imekuwa...
9 years ago
VijimamboJUST IN: MBIO ZA UBUNGE: MWANA-DIASPORA AKUTANA NA WANAFUNZI MBALMBALI
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Sep
Amani Karume bado aendelea kuwa gumzo Kisonge
Na Mwadini Ali KILICHOANDIKWA kwenye ubao wa matangazo wa Maskani ya Muembekisonge, inayoendeshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndio uthibitisho hasa wa fikra mgando zilizoganda akilini mwa viongozi wakuu wa chama hichi. Maskani hii imeandika maneno […]
The post Amani Karume bado aendelea kuwa gumzo Kisonge appeared first on Mzalendo.net.