Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USHIRIKI WA LOWASSA VITANI WAIBUA GUMZO

Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Na Mwandishi Wetu USHIRIKI wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa katika vita vya kumng’oa Nduli Idd Amin wa Uganda mwaka 1978/79 umeibua gumzo kufuatia madai ya katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yussuf Makamba kushabihiana na ya Makongoro Nyerere aliyedai kuwa hakuwahi kumwona mstari wa mbele. Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania, Mwl. J.K Nyerere na makamanda wa Jeshi. Katika mkutano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMPENI ZA URAIS… JK, LOWASSA SASA VITANI RASMI

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Edward Lowassa wakati akiwa CCM. Na Neophitius Kyaruzi WAKATI kampeni za uchaguzi mkuu zinatarajiwa kuanza kesho kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Ngoyai Lowassa na Rais Jakaya Kikwete wapo katika vita kali ya kisiasa. Vita hiyo ambayo kwa sasa ipo dhahiri imetokana uhusiano mbaya kati yao tangu...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AWA GUMZO UPYA!

Mwandishi Wetu Hakuna ubishi kuwa jina la Edward Lowassa limepamba vichwa vya habari nchini kwa miezi kadhaa huku gumzo jipya kumhusu mwanasiasa huyo likitokana na safari yake ya kuelekea muungano wa nyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) kutangazwa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1SMh6Kh

 

10 years ago

GPL

STAILI YA KAMPENI YA LOWASSA YAZUA GUMZO

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyai Lowassa akiwa kwenye daladala. MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyai Lowassa amezua gumzo kubwa baada ya kutumia staili ya kupanda daladala na wananchi wa kawaida, kitu kinachoonekana kuwa ni kampeni ya aina yake.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MSRMnv ...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AWA GUMZO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Stori  stori: Mwandishi Wetu
UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima juzi, umemuibua na kumfanya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa (pichani) kuwa gumzo kubwa, baada ya kutajwa na wagombea kuwa ndiye turufu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaani mrithi muafaka wa Rais Jakaya Kikwete. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Wagombea mbalimbali  wa CCM waliozungumza na gazeti hili baada ya uchaguzi huo juzi,...

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'


Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushindi Sombetini waibua shangwe

Mamia ya wafuasi wa Chadema jana, waliandamana katikati ya jiji, wakati mvua ikinyesha wakimtembeza Diwani mpya wa Kata ya Sombetini, Ally Benanga huku, viongozi wakitoa kauli kuwa siku za Meya wa Jiji la Arusha, Gaudence Lymo kukaa madarakani zinahesabika.

 

9 years ago

Mwananchi

Ushuru waibua sintofahamu Moshi

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, imetakiwa kutoa ufafanuzi ni kwa nini iliendelea kutoza ushuru wa magari siku ya jana ya Sikukuu ya Maulid ambayo ni mapumziko.

 

11 years ago

Mwananchi

Waliofutiwa leseni waibua mapya

Kampuni ya Green Mile Safari Limited (GMS) iliyofutiwa leseni ya uwindaji wa kitaliii na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Julai 11, imeziomba mamlaka za juu kuingilia kati uamuzi huo kwa madai ya kutotendewa haki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani