Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushuru waibua sintofahamu Moshi

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, imetakiwa kutoa ufafanuzi ni kwa nini iliendelea kutoza ushuru wa magari siku ya jana ya Sikukuu ya Maulid ambayo ni mapumziko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Sintofahamu Z’bar

DSC_7165*CCM yajipanga kurudia uchaguzi

*CUF wagoma, wataka Maalim atangazwe

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

HALI ya sintofahamu sasa imeikumba Zanzibar, baada ya Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana jana mjini Unguja, kuweka mikakati ya kujiandaa na uchaguzi wa marudio visiwani humo.

Wakati CCM ikiendelea na mipango hiyo, wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekuwa wakisubiri kutangazwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sintofahamu yaikumba Malawi

WAKATI Malawi ikianza kuhesabu upya kura zilizopigwa wiki iliyopita, wananchi wameanza utakaosababishwa na matokeo hayo. Hali hiyo imekuja baada ya kura za uchaguzi mkuu kuanza kuhesabiwa upya jana katika maeneo...

 

10 years ago

Mwananchi

Amri ya Mahakama yazua sintofahamu bungeni

Miongozo iliyoombwa na wabunge jana ilizua vurumai bungeni kiasi cha kumfanya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kutishia kuliahirisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Maonyesho Jua Kali yaondoe sintofahamu’

CHAMA cha watabibu wa tiba asili nchini(ATME), kimetaka maonesho ya Jua Kali yatumike kuondoa sintofahamu ya mgongano uliopo kati ya Rwansa na Tanzania. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mtaribu wa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kiujiuzulu kwa Prof. Lipumba na sintofahamu ya Dk. Slaa

MAKALA hii ni mwendelezo wa ile iliyochapishwa katika gazeti hili katika toleo la wiki iliyopita.

Evarist Chahali

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya Rais Kikwete yazua sintofahamu kwa wananchi

Kauli ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa jana na kukosea idadi ya wapigakura walioandikishwa kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, imeongeza idadi ya wananchi waliopiga simu kwenye kituo maalumu cha huduma kwa wateja cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Vijimambo

HALI YA SINTOFAHAMU YAENDELEA KUTAWALA NDANI YA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI

 Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa NCCR-MAGEUZI, Mohammed Tibanyendela akizungumza na waandishi wa habari masuala mbalimbali ikwemo viongozi wa juu kufanya kikao kinyemela leo Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mjumbe wa Baraza la Wadhamini,Thomas Nguma. Kamishna wa Tanga wa NCCR-MAGEUZI, Ramadhan Manyeko akizungumza na waandishi wa habari juu ya kushiriki kikao cha jana cha utoaji taarifa nje ya utaratibu wa chama leo Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

From Moshi to Harvard Presentation by International School Moshi — This Saturday at Seacliff Hotel

International School Moshi welcomes you all to join us for a presentation and find out how we helped one of our students get into Harvard University. When: Feb 14th, 10:00 AM | Where: Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam For more info please visit us on www.ismoshiarusha.org

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Miezi mitano ya sintofahamu kuhusu BVR, Kura ya Maoni

>Ilichukua miezi mitano kumaliza mvutano wa kimahesabu na maneno baina ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Serikali na wadau wa demokrasia kuhusu muda wa maandalizi na upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani