Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Maonyesho Jua Kali yaondoe sintofahamu’

CHAMA cha watabibu wa tiba asili nchini(ATME), kimetaka maonesho ya Jua Kali yatumike kuondoa sintofahamu ya mgongano uliopo kati ya Rwansa na Tanzania. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mtaribu wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Jua kali lasitisha Australian Open

Viwango vya juu vya joto vimewalazimisha waandalizi wa mashindano ya tennis ya Australian Open, kusimamisha mashindano hayo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya Jua Kali kufunguliwa rasmi Jumatano

picha 1

Mwenyekiti wa Shirikisho la wajasiriamali Afika Mashariki Bw. Josephat Rweyemamu (Katikati) akiangalia bidhaa zinazotokana na karanga  kutoka kwa wajasirialiamali katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam  kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Ajira kutoka Wizara ya Kazi Ajira na Bw. Ali Msaki.

picha 2

Baadhi ya bidhaa zinazopatika katika maonesho ya Jua Kali yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

picha 3

Baadhi ya wajasiriamali  kutoka nchi wanachama wa jumuia ya Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

COURT PARTICIPATES IN THE 15TH EAC JUA KALI - NGUVU KAZI EXHIBITION

The East African Court of Justice (EACJ) for the first time is participating in the EAC Jua Kali/Nguvu Kazi that is currently ongoing at the Gikondo Expo Ground in Kigali, Rwanda. The court has seized the opportunity to sensitize the public on the role, operations and procedures of the regional court.
At the expo, exhibitors and the general public have shown interest in learning more about the Court especially how to approach and use its services in settling disputes regarding business...

 

9 years ago

Mtanzania

Sintofahamu Z’bar

DSC_7165*CCM yajipanga kurudia uchaguzi

*CUF wagoma, wataka Maalim atangazwe

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

HALI ya sintofahamu sasa imeikumba Zanzibar, baada ya Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana jana mjini Unguja, kuweka mikakati ya kujiandaa na uchaguzi wa marudio visiwani humo.

Wakati CCM ikiendelea na mipango hiyo, wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekuwa wakisubiri kutangazwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sintofahamu yaikumba Malawi

WAKATI Malawi ikianza kuhesabu upya kura zilizopigwa wiki iliyopita, wananchi wameanza utakaosababishwa na matokeo hayo. Hali hiyo imekuja baada ya kura za uchaguzi mkuu kuanza kuhesabiwa upya jana katika maeneo...

 

9 years ago

Mwananchi

Ushuru waibua sintofahamu Moshi

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, imetakiwa kutoa ufafanuzi ni kwa nini iliendelea kutoza ushuru wa magari siku ya jana ya Sikukuu ya Maulid ambayo ni mapumziko.

 

10 years ago

Mwananchi

Amri ya Mahakama yazua sintofahamu bungeni

Miongozo iliyoombwa na wabunge jana ilizua vurumai bungeni kiasi cha kumfanya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kutishia kuliahirisha.

 

10 years ago

Raia Mwema

Kiujiuzulu kwa Prof. Lipumba na sintofahamu ya Dk. Slaa

MAKALA hii ni mwendelezo wa ile iliyochapishwa katika gazeti hili katika toleo la wiki iliyopita.

Evarist Chahali

 

9 years ago

Mwananchi

Kauli ya Rais Kikwete yazua sintofahamu kwa wananchi

Kauli ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa jana na kukosea idadi ya wapigakura walioandikishwa kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, imeongeza idadi ya wananchi waliopiga simu kwenye kituo maalumu cha huduma kwa wateja cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani