Sintofahamu Z’bar
*CCM yajipanga kurudia uchaguzi
*CUF wagoma, wataka Maalim atangazwe
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HALI ya sintofahamu sasa imeikumba Zanzibar, baada ya Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana jana mjini Unguja, kuweka mikakati ya kujiandaa na uchaguzi wa marudio visiwani humo.
Wakati CCM ikiendelea na mipango hiyo, wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekuwa wakisubiri kutangazwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Sintofahamu yaikumba Malawi
WAKATI Malawi ikianza kuhesabu upya kura zilizopigwa wiki iliyopita, wananchi wameanza utakaosababishwa na matokeo hayo. Hali hiyo imekuja baada ya kura za uchaguzi mkuu kuanza kuhesabiwa upya jana katika maeneo...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Ushuru waibua sintofahamu Moshi
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Amri ya Mahakama yazua sintofahamu bungeni
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
‘Maonyesho Jua Kali yaondoe sintofahamu’
CHAMA cha watabibu wa tiba asili nchini(ATME), kimetaka maonesho ya Jua Kali yatumike kuondoa sintofahamu ya mgongano uliopo kati ya Rwansa na Tanzania. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mtaribu wa...
10 years ago
MichuziEFM WAANDAA TAMASHA LA PILI LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR
10 years ago
Michuzi
libeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha


10 years ago
GPLTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE
10 years ago
VijimamboTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE
Na Dotto Mwaibale
KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza.
Hayo yalibainishwa na Meneja Mkuu...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Kiujiuzulu kwa Prof. Lipumba na sintofahamu ya Dk. Slaa
MAKALA hii ni mwendelezo wa ile iliyochapishwa katika gazeti hili katika toleo la wiki iliyopita.
Evarist Chahali