Watanzania wahimizwa kukata bima za nyumba
WATANZANIA wameshauriwa kuweka kipaumbele katika ukataji wa bima, hasa za nyumba na kuacha kutumia fedha kwa mambo yasiyofaa. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Msemaji wa Kampuni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...
5 years ago
MichuziWAMILIKI WA VIWANDA NCHINI WAELEKEZWA KUKATA BIMA ZA MOTO.
Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuhakikisha wanakata bima za moto ili pale wanapokumbwa na ajali za moto wapate wepesi wa kulipwa fidia za mali zao.
Bashungwa alitoa wito huo akiwa ziarani Karagwe mkoani Kagera 17 mei 2020, baada ya kutembelea na kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Amri Amir AL-HABSSY kilichoungua kwa moto Mei 07, 2020 nakuona mashine zilivyoharibika baada ya...
11 years ago
MichuziKUPANGA MIJI SIO KUKATA VIWANJA,AFAGILIA UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA-PROF.TIBAIJUKA
Alisema katika kipindi kifupi Shirika limefanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya makazi na kwamba miradi hiyo itakapokamilika,itaifanya miji hiyo kuwa ya...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Watanzania wahimizwa kupikia gesi
KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...
10 years ago
Habarileo29 Dec
Watanzania wahimizwa kula vizuri
WATANZANIA wametakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula na ufanyaji wa mazoezi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, ambayo kwa sasa yanasababisha vifo vya watu wengi hapa nchini.
11 years ago
GPLWATANZANIA WAHIMIZWA MATUMIZI YA INTANETI
9 years ago
Habarileo29 Dec
Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli
MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.
Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...
9 years ago
StarTV05 Oct
Watanzania wahimizwa kudumisha amani
Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.
Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki
Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Watanzania wahimizwa kupima afya