Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mengi: Sikuwahi kuomba upendeleo vitalu vya gesi

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema hajawahi kuomba upendeleo wa kupewa vitalu vya gesi na kwamba, siku zote anapigania masilahi ya Watanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kuomba vitalu vya mifugo

SERIKALI imewataka Watanzania kuwa mashujaa wa kuomba vitalu vya uwekezaji katika mashamba ya mifugo vinapotangazwa badala ya kuwaachia watu kutoka nje. Aidha, Wizara ya Fedha imesema itatoa Sh bilioni 10.5 kati ya takribani Sh bilioni 20 zilizosalia ambazo zilitengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ili kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo.

 

11 years ago

GPL

TAARIFA RASMI YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED YENYE KUJIBU MAELEZO YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU HODHI YA VITALU

Reginal Mengi. Baada ya Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara ((TNBC) uliofanyika tarehe 16 Desemba 2013, chini ya uenyekiti wa Mhe. Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, sikutegemea kwamba Mhe. Profesa Muhongo angeendeleza mashambulizi dhidi yangu kwa sababu katika mkutano huo ambao ulikuwa na mafanikio makubwa tulifikia maamuzi ya kudumisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi, kitu ambacho nimekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji vitalu vya uwindaji apigwa ‘stop’

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, limewakataa mwekezaji, Shen na wenzake Wembele Hunting Safaris wanaofanya kazi za uwindaji katika pori la misitu ya hifadhi iliyoko...

 

10 years ago

Habarileo

Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUNYANG’ANYA VITALU VYA MADINI VILIVYOHODHIWA.

Mmiliki wa kiwanda cha uongezaji thamani madini ya jasi kilichopo mkoani Singida, Emmanuel Shilla akimuonesha Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kushoto) moja ya bidhaa za urembo wa ndani ya nyumba unaotengenezwa kutokana na madini ya jasi yanayopatikana mkoani Singida.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kushoto) akitazama jinsi madini ya jasi yanavyotumika kutengeneza vitu mbalimbali ikiwemo urembo wa ndani ya nyumba mara...

 

11 years ago

Mwananchi

Mengi atetea wazawa kumiliki gesi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amesema hoja kwamba Watanzania hawana mtaji wa kumiliki vitalu vya gesi si sahihi kwa kuwa gesi yenyewe ni mtaji wa kutosha kwa Watanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nakerwa na vigezo vya uzoefu kuomba ajira

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuingia Ikulu atapambana kuhakikisha Watanzania wengi wanapata ajira na kwamba anakerwa sana na kigezo cha mtu kuwa na uzoefu ndio apatiwe ajira.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana azuia vigogo kuomba vibali vya magogo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa CCM na wale wa Serikali Kuu na mitaa kutojihusisha na uombaji wa vibali vya kuvuna magogo katika shamba la Serikali la Sao Hill, iwapo wanataka kutenda haki kwa wananchi wanyonge.

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI

She changed her name from Jacqueline Ntuyabaliwe to Jacqueline Mengi....... "Life isn't happening to you; life is responding to you."-this is her new tagline on Instagram 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani