Kinana azuia vigogo kuomba vibali vya magogo
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa CCM na wale wa Serikali Kuu na mitaa kutojihusisha na uombaji wa vibali vya kuvuna magogo katika shamba la Serikali la Sao Hill, iwapo wanataka kutenda haki kwa wananchi wanyonge.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Jul
Serikali yafutia viwanda vibali vya kuni, magogo
SERIKALI imesitisha vibali vyote vilivyotolewa kununua kuni na magogo kwa ajili ya nishati ya kuendesha viwanda mbalimbali nchini na badala yake imevitaka ndani ya muda wa miezi mitatu kuanzia jana viwe vinatumia teknolojia ya makaa ya mawe, umeme na gesi kwa ajili ya kuviendesha viwanda vyao.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Mbene: Wizara haitoi vibali matumizi ya magogo
SERIKALI kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imesema haina mamlaka ya kutoa vibali vya matumizi ya magogo ya miti kwa ajili ya viwanda. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu...
11 years ago
Habarileo28 Apr
JK azuia vigogo kutumia vibaya wodi za Moyo
RAIS Jakaya Kikwete ameuonya Uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), kutowafumbia macho na kuwaruhusu watu maarufu nchini, kutumia vibaya wodi za kisasa za Kituo kipya cha Upasuaji wa Moyo, Matibabu na Mafunzo cha hospitali hiyo.
11 years ago
Habarileo24 Dec
SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi
JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.
10 years ago
Habarileo18 Oct
Vibali vya uwindaji vyasitishwa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezuia utoaji wa vibali vya uwindaji wanyama pori kwa miaka miwili. Sanjari na hilo amezuia uuzaji na upelekaji wa wanyama hao nje ya nchi.
5 years ago
Michuzi
VIGOGO SITA WA KAMPUNI YA VIETTEL TANZANIA NA HALOTEL WAMWANDIKIA BARUA DPP KUOMBA KUINGIA MAKUBALIANO YA KUKIRI MASHTAKA YA KUISABABISHIA TCRA HASARA YA SH BILIONI 75
VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), wakiomba kuingia makubaliano ya kukiri mashtaka ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 75.
Mbali na Nguyen washitakiwa wengine ni Nguyen Minh (40) na Vu Tiep ambao wote ni Mameneja wa Halotel, Ha Than (39) Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) Halotel,...
10 years ago
Mtanzania08 Apr
vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same
NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘E-Immagration’ kurahisisha vibali vya uhamiaji
MFUMO wa ‘E-immagration’ unaelezwa kuwa utakuwa suluhu katika kutatua tatizo la kuchukua muda mrefu katika kushughulikia vibali vya wageni wanaotoka na kuingia nchini. Akizungumza na Tanzania Daima katika maonyesho ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Wageni 7,000 wapewa vibali vya kazi
SERIKALI imesema wageni 7,037 wamepatiwa vibali vya kazi kwa kuwa na sifa stahiki katika kipindi cha mwaka 2012/13. Hayo yalibainishwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro...