Mzungu wa Yanga amlilia Okwi
>Wakati kikosi cha Yanga kikiingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili ya wiki hii, kocha Hans Van Pluijm amezidi kuumizwa kichwa kwa kumkosa mshambuliaji wake Emmanuel Okwi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLNgassa, Okwi waingia wanga za Mzungu Yanga
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, raia wa Uholanzi, amesema anataka soka la kasi huku kikosi chake kikicheza kwa ushirikiano katika kushambulia na kukaba.…
10 years ago
GPLMzungu: Huyu Okwi safi sana!
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic, amemsifia mshambuliaji wa timu yake, Emmanuel Okwi kutokana na kuonyesha nidhamu kwa muda wote aliokuwa naye lakini akamuonya kuwa anatakiwa kuendelea kuwa hivyo, kinyume na hapo hawataelewana. Okwi ameanza kuwa chini ya kocha huyo hivi karibuni baada ya kutumia muda mwingi kuwa katika mambo ya familia wakati kocha huyo...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Azam kamili, Mzungu Yanga bado
>Wakati kocha wa Azam FC, Joseph Omog akitamba kupata kila kitu pamoja na mikanda ya video ya Feroviarrio, mwenzake wa Yanga, Hans Van Pluijm, amekiri kwamba hajui lolote kuhusu wapinzani wao Commorozine.
11 years ago
GPLMzungu wa Ghana kocha mpya Yanga
Hans Van der Pluijm. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mzungu anayefundisha soka nchini Ghana ndiye atakuwa kocha mpya wa Yanga.Hadi jana usiku Yanga ilikuwa ikifanya mazungumzo na makocha wawili yule wa Berekum Chelsea ambaye anajulikana kwa jina la Hans Van der Pluijm na mwingine wa Berekum Arsenal na hukohuko Ghana ambaye hakutajwa jina.…
11 years ago
GPLOKWI ATUA YANGA SC
Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Yanga kumshtaki Okwi
Uongozi wa Yanga umedai kuwa utamshtaki kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi iwapo hatajisalimisha hadi ifikapo Agosti 4.
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Okwi aituliza Yanga
NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...
11 years ago
GPLOkwi ayeyuka Yanga SC
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. John Joseph na Sweetbert Lukonge
SAKATA la mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kudaiwa kususia mazoezi, sasa limeendelea mbele zaidi ya ilivyoelezwa awali. Habari mpya ni kuwa Okwi, raia wa Uganda, amegoma kabisa hata kujiunga na wenzake walioweka kambi Bagamoyo na siyo kususia mazoezi pekee, kisa kikiwa ni kutaka kumaliziwa fedha zake za usajili ambazo inadaiwa bado anadai. Kutokana na...
11 years ago
GPLOkwi asaini Yanga SC
Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania