Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa, Okwi waingia wanga za Mzungu Yanga

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, raia wa Uholanzi, amesema anataka soka la kasi huku kikosi chake kikicheza kwa ushirikiano katika kushambulia na kukaba.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Yanga amlilia Okwi

>Wakati kikosi cha Yanga kikiingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili ya wiki hii, kocha Hans Van Pluijm amezidi kuumizwa kichwa kwa kumkosa mshambuliaji wake Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

GPL

Mzungu: Huyu Okwi safi sana!

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic, amemsifia mshambuliaji wa timu yake, Emmanuel Okwi kutokana na kuonyesha nidhamu kwa muda wote aliokuwa naye lakini akamuonya kuwa anatakiwa kuendelea kuwa hivyo, kinyume na hapo hawataelewana. Okwi ameanza kuwa chini ya kocha huyo hivi karibuni baada ya kutumia muda mwingi kuwa katika mambo ya familia wakati kocha huyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngassa aibukia Yanga

mshambuliaji Mrisho Ngassa ameibukia katika klabu yake ya zamani, Yanga na kufanya mazoezi ili kujiweka fiti.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngassa arejea Yanga kiaina

Mshambuliaji Mrisho Ngassa aliyesajiliwa na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini hivi karibuni, jana aliibuka katika mazoezi ya timu yake ya zamani Yanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga: Ngassa kila la heri

Pg 32, NgassaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemtakia kila la heri aliyekuwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa, baada ya kupata ulaji nchini Afrika Kusini.
Ngassa jana ameingia mkataba wa miaka minne kuichezea timu Free State Stars, inayocheza Ligi Kuu nchini humo, baada ya kufuzu majaribio na kukabidhiwa jezi rasmi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, alisema ni jambo la kujivunia kwa klabu kutoa mchezaji kucheza soka la kulipwa la kimataifa na...

 

10 years ago

Vijimambo

Milioni ya Yanga yamvuruga Ngassa

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa.
Na Wilbert MolandiSIRI kubwa ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, kucheza chini ya kiwango imefahamika.Ngassa amekuwa kwenye kiwango cha chini msimu huu ikiwa ni tofauti na misimu mingine yote iliyotangulia.Kiungo huyo, alitua kuichezea timu hiyo kwenye msimu wa 2013/2014, kwa makubaliano ya kulipa fedha shilingi milioni 45, ikiwa ni deni la shilingi milioni 30 pamoja na faini ya milioni 15 za Simba ili aweze kuitumikia timu yake ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Ngassa aipa raha Yanga

pg32JENIFFER ULLEMBO NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kurejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imewashusha waliokuwa vinara Azam wenye pointi 22 baada ya kufikisha jumla ya pointi 25, lakini wanalambalamba hao wana mchezo mmoja mkononi.Winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ndiye aliyeibuka shujaa kwa timu yake baada ya kuifungia mabao hayo yote, akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Maximo amgeuka Ngassa Yanga

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Marcio Maximo akiuzungumza na vyombo vya habari Bosi huyo raia wa Brazil amekuwa akitumia nguvu kubwa mazoezini akitaka Yanga ishinde kwa kishindo uwanjani lakini jambo hilo limekuwa kinyume ambapo imekuwa ikishinda kwa mabao machache.MATOKEO iliyopata Yanga kwenye mechi mbili za awali za Ligi Kuu Bara hayajamfurahisha Kocha Marcio Maximo. Na hata alipokaa chini kutafakari na uongozi akataja mambo kadhaa ambayo Mrisho Ngassa ni miongoni mwa wachezaji...

 

10 years ago

GPL

Ngassa atoa saa 24 Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoa saa 24, kumalizia deni analodaiwa shilingi milioni 45 na madai yake ya mishahara ya miezi miwili, ambayo kama hatalipwa, basi ataondoka kambini na kwenda nyumbani kwake. Timu hiyo imeweka kambi yake Tansoma Hotel, Kariakoo jijini Dar es Salaam, ikijiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya BDF XI FC ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani