Ngassa atoa saa 24 Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVL1uqtpfZZLtcBZC4hy*WOGqTdtPMvOKZRNJsXze3HZuUbm2Z7Wyt0DLGTiRlZx1WchLg6OhOUfV*i8wAyjyvT*/NGASA.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoa saa 24, kumalizia deni analodaiwa shilingi milioni 45 na madai yake ya mishahara ya miezi miwili, ambayo kama hatalipwa, basi ataondoka kambini na kwenda nyumbani kwake. Timu hiyo imeweka kambi yake Tansoma Hotel, Kariakoo jijini Dar es Salaam, ikijiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya BDF XI FC ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Ngassa aibukia Yanga
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Milioni ya Yanga yamvuruga Ngassa
![](http://api.ning.com/files/BM3*tIQqFL*7SB5AdPCC61kg1c-sDhE6w8QjUNdkrKBj20X7902ALxn0Mil5Tr8W2u37gDOXAjX0h7a1mqU3R4nOeevRHnq*/NGASSAMRISHO.jpg?width=650)
Na Wilbert MolandiSIRI kubwa ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, kucheza chini ya kiwango imefahamika.Ngassa amekuwa kwenye kiwango cha chini msimu huu ikiwa ni tofauti na misimu mingine yote iliyotangulia.Kiungo huyo, alitua kuichezea timu hiyo kwenye msimu wa 2013/2014, kwa makubaliano ya kulipa fedha shilingi milioni 45, ikiwa ni deni la shilingi milioni 30 pamoja na faini ya milioni 15 za Simba ili aweze kuitumikia timu yake ya...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Ngassa arejea Yanga kiaina
10 years ago
Vijimambo04 Oct
Maximo amgeuka Ngassa Yanga
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2473816/highRes/843142/-/maxw/600/-/uf3jb0z/-/maxi.jpg)
10 years ago
Mtanzania09 Feb
Ngassa aipa raha Yanga
JENIFFER ULLEMBO NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kurejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imewashusha waliokuwa vinara Azam wenye pointi 22 baada ya kufikisha jumla ya pointi 25, lakini wanalambalamba hao wana mchezo mmoja mkononi.Winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ndiye aliyeibuka shujaa kwa timu yake baada ya kuifungia mabao hayo yote, akiwa...
10 years ago
Mtanzania13 May
Yanga: Ngassa kila la heri
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemtakia kila la heri aliyekuwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa, baada ya kupata ulaji nchini Afrika Kusini.
Ngassa jana ameingia mkataba wa miaka minne kuichezea timu Free State Stars, inayocheza Ligi Kuu nchini humo, baada ya kufuzu majaribio na kukabidhiwa jezi rasmi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, alisema ni jambo la kujivunia kwa klabu kutoa mchezaji kucheza soka la kulipwa la kimataifa na...
11 years ago
TheCitizen08 Jul
Dar’s Yanga soften stance on Ngassa transfer
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOL3OCjc0-z9MFrZV2tNlkC49v3xjGd4CXv7PchwlwwucAfyjdzVaxT*fhrKr11L1U2s11c*F9fwp6Mzq0W8pcKt/kochayanga.gif?width=650)
Ngassa, Okwi waingia wanga za Mzungu Yanga
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Winga Ngassa apewa mkono wa heri Yanga