Mzungu: Huyu Okwi safi sana!
![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU111wzxgMhX5DuaWUpzgO92W9cDSLAjWWR78tog4CNyFVw58eT3IzN843kEtvHFmoGE3mMZMo38kZ81agCCQpco*/OKWA.jpg)
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic, amemsifia mshambuliaji wa timu yake, Emmanuel Okwi kutokana na kuonyesha nidhamu kwa muda wote aliokuwa naye lakini akamuonya kuwa anatakiwa kuendelea kuwa hivyo, kinyume na hapo hawataelewana. Okwi ameanza kuwa chini ya kocha huyo hivi karibuni baada ya kutumia muda mwingi kuwa katika mambo ya familia wakati kocha huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mzungu wa Yanga amlilia Okwi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOL3OCjc0-z9MFrZV2tNlkC49v3xjGd4CXv7PchwlwwucAfyjdzVaxT*fhrKr11L1U2s11c*F9fwp6Mzq0W8pcKt/kochayanga.gif?width=650)
Ngassa, Okwi waingia wanga za Mzungu Yanga
10 years ago
Bongo Movies20 May
Dude: Namkubali Sana Huyu Babu…
Namkubali sana huyu babu, alipiga pesa chafu akiw0 huko huko porini, aisee wajanj woote hapa bongo hakuna aliyefikiri hiki kitu, tulibeba hela tukazipeleka wenyewe, aisee huyu ni Profesa, nikumbusheni jina lake nikampe mkono.
By Dude on Instagram
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhnYxSp3DFlojTRXv6pXsegEAwWdkGeG1cdZnwswKszkr8tPXl3CrEpqVI4FcgA5oAMe5OFODRKH0o8igl1viZUd/mzungu.jpg?width=650)
DUH! MZUNGU AFUMANIWA
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mgimwa- Mimi si Mzungu
MGOMBEA ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembe yoyote ya uzungu. Amesema anakishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba si Mtanzania.