Dude: Namkubali Sana Huyu Babu…
Namkubali sana huyu babu, alipiga pesa chafu akiw0 huko huko porini, aisee wajanj woote hapa bongo hakuna aliyefikiri hiki kitu, tulibeba hela tukazipeleka wenyewe, aisee huyu ni Profesa, nikumbusheni jina lake nikampe mkono.
By Dude on Instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU111wzxgMhX5DuaWUpzgO92W9cDSLAjWWR78tog4CNyFVw58eT3IzN843kEtvHFmoGE3mMZMo38kZ81agCCQpco*/OKWA.jpg)
Mzungu: Huyu Okwi safi sana!
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2MYEJXe1yARBywn3BlfZIPG9UuEHEbrCaEASQ52tm2hJINX2but0rw6Bl18TSuaKNIyVYXUT59tj9EWFHdDIiH/DUDE.jpg)
DUDE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZm7n59oSA-GAm0wuYVnAIgsdEHkE4uxwuGHrO028zevfbZqKPwP*buwZSHuIh-kz4rmIOcqEgASPOvQMMANHan/mastaa.jpg?width=600)
MASTAA WAMBWATUKIA DUDE
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Dude Alaumu Viwango 0
Dude alaumu wasanii wenzake kwa kutoa utitiri wa filamu zisizo na viwango na kusema anataka kuleta mabadiliko katika filamu yake mpya, baada ya kukaa muda mrefu bila kutoa sinema.
Dude alisema wasanii wengi wa filamu nchini wana vipaji lakini wanashindwa kuvitumia ipasavyo kutokana na kuandika miswada ya filamu ambazo hazina elimu yoyote kwa jamii.
Mbali na miswada mibovu , Dude amesema pia wasanii wengi wana tatizo la kuingiza mambo binafsi ambayo hayaendani na hadithi yenyewe...
11 years ago
GPLDUDE ATINGA GLOBAL TV ONLINE