DUDE

Stori: Gladness Mallya Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza sababu ya baadhi ya wasanii kuutenga msiba Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ akidai kuwa wengi waliona aibu kutokana na walivyomtenga alipokuwa akiumwa. Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Dude alisema: “Wasanii wengi tumeona aibu kuja hata kwenye maandalizi kutokana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Dude Alaumu Viwango 0
Dude alaumu wasanii wenzake kwa kutoa utitiri wa filamu zisizo na viwango na kusema anataka kuleta mabadiliko katika filamu yake mpya, baada ya kukaa muda mrefu bila kutoa sinema.
Dude alisema wasanii wengi wa filamu nchini wana vipaji lakini wanashindwa kuvitumia ipasavyo kutokana na kuandika miswada ya filamu ambazo hazina elimu yoyote kwa jamii.
Mbali na miswada mibovu , Dude amesema pia wasanii wengi wana tatizo la kuingiza mambo binafsi ambayo hayaendani na hadithi yenyewe...
11 years ago
GPL
MASTAA WAMBWATUKIA DUDE
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
Dude Ampa Makavu Q-Chillah
MWONGOZAJI na mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtolea uvivu msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji wa filamu, Shabani Katwila ‘Q-Chillah’ kwa kumwambia kuwa katika filamu hakuna ubishoo zaidi ya uhalisia na uhusika kwa filamu husika.
“Napenda kumwambia mdogo wangu Q-Chillah huku siyo kama katika muziki, huku tunavaa kulinga na uhusika, siyo kuvaa tu ilimradi umevaa tu, maskini hawezi kuvaa suti, au mchungaji kuvaa pensi au kuonekana...
10 years ago
GPL
ESTER AKUTWA NA SHATI LA DUDE
10 years ago
GPL
MKE WA DUDE AENDA KWAO
10 years ago
Bongo Movies28 Jun
Dude na Davina Ndani ya SHANTA...
Kumecha.....5 effects movies tunakuja tena na tofali lingine la aina yake....naizungumzia SHANTA....hapa namzungumzia HALIMA YAHAYA "DAVINA",KULWA KIKUMBA"DUDE",JENGUA na WILLIAM MTITU ni filamu bomba iliyosheheni visa na mikasa ya aina yake....kutana na Dereva Tax anayetembea na mgoni wake akiwa na mke wa Dereva Tax huyo ndani ya tax siku nzima bila ya mgoni kutambua....unajua hatua anazochukua Dereva Tax dhidi ya mgoni wake?.... Kwa wauzaji wa jumla na rejareja coming soon
William mtitu...
11 years ago
GPLDUDE ATINGA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPL
DUDE ATOA SOMO LA MCHEPUKO
11 years ago
GPL
NDINGA LA DUDE NGOMA NZITO!